- Thread starter
- #21
Majitu ya hii nchi ni mazezeta😀Yani wanaopinga ukifatilia kwa makini
Sababu kuna maslahi yao binafsi kabisa.
Mtu anatoa ushauri ulio bora kabisa,mtu anaupinga kwa sababu za kijinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majitu ya hii nchi ni mazezeta😀Yani wanaopinga ukifatilia kwa makini
Sababu kuna maslahi yao binafsi kabisa.
Mtu anatoa ushauri ulio bora kabisa,mtu anaupinga kwa sababu za kijinga.
Watakula wanapochezagaWatakula wapi?
📌kwa faida wanazoingiza mwendokasi ni MSHANGAO MKUBWA kuona bado tupo hoi bin taabani as if mradi umeanza jana.Ila mleta uzi mbona hkuna jambo losilo na gharama. Ila hoja ya kutanua wingi wa njia za malipo ni zuri pia.
Unazungumzia 'apps kibaooo' mbona hulalamiki benki kibao na kwanini kusiwe na app moja tu ya benki ama kadi moja tu ya benki ikuwezeshe kupata huduma za benki nyingine?? btw unapouliza mwendokasi imeungwa na benki nashindwa kuelewe unauliza katika mtazamo upi? kwamba mwendokasi app iwe na option ya kununua tiketi kupitia benki ama benki ziwe na mini app ya mwendokasi?MWENDOKASI APP imeungwa na mabenki??? yaani apps kibaooo bila sabu hiyo nayo kama kuwa Makadi tu.
Huduma ya kibenki ama mobile money inaingia upande wa malipo tu, ukiwa na kadi utaweza ku iwekea pesa kupitia benki au mobile money kwa sababu ile namba ya kadi ni control number ya kawaida tu, ukiwa na app unaweza kulipia tiketi kupitia mtandao wowote wa simu.Hiyo mwendokadi app waiupdate iwe na huduma zote za kibenki na simu kiasi kwamba kama mtandao wa simu unashida mtu anaingia anapata huduma kibenki and vise versa.
Mkuu Social Security number haikufanyi usiwe na Bank a/c number. Kumbuka hata kabla ya kupewa kadi ya mwendo kasi unasajiliwa kupitia nida yako so obviously taarifa zako zipo.📌📌📌Napozungumzia system namaanisha mfumo wenye sifa zote yaani mfumo unaojitosheleza kwa kila kitu.Inatakiwa hata unapoanguka kwenye kituo cha mwendokasi wakikusaka kwenye mtandao wao wawe na uwezo wa kukupa huduma na kujua wewe ni nani🤝
Kama huelewei kasome mfumo wa SOCIAL SECURITY NAMBA wa Marekani.
Labda kama sijakuelewa vizuri lakini mimi huwa na top up kupitia control # iliyo kwenye card yangu ya app kwenye app ya NMB,M-pesa na Airtel Money bila shida yoyote.Haina option ya mabenki kiasi kwamba mtandao wa makampuni ya simu ukishake mnaanza kuhangaika tena
Huo muda wa kwenda kujaza hela MPESA AU MIXX YOUR NYASH NA USHUBWADA MWINGINE NDO mimi naitetea hapa.Unazungumzia 'apps kibaooo' mbona hulalamiki benki kibao na kwanini kusiwe na app moja tu ya benki ama kadi moja tu ya benki ikuwezeshe kupata huduma za benki nyingine?? btw unapouliza mwendokasi imeungwa na benki nashindwa kuelewe unauliza katika mtazamo upi? kwamba mwendokasi app iwe na option ya kununua tiketi kupitia benki ama benki ziwe na mini app ya mwendokasi?
Huduma ya kibenki ama mobile money inaingia upande wa malipo tu, ukiwa na kadi utaweza ku iwekea pesa kupitia benki au mobile money kwa sababu ile namba ya kadi ni control number ya kawaida tu, ukiwa na app unaweza kulipia tiketi kupitia mtandao wowote wa simu.
Mkuu Social Security number haikufanyi usiwe na Bank a/c number. Kumbuka hata kabla ya kupewa kadi ya mwendo kasi unasajiliwa kupitia nida yako so obviously taarifa zako zipo.
Pia inatakiwa ufahamu kwa sasa ki tehama tunaelekea kuwa na namba moja tu ya utambulisho ambayo mtu atapatiwa tangu siku aliyozaliwa na itakuwezesha kupata huduma zote (Jamii namba) kama hiyo Social Security Number, pilot yake inafanyika kwenye upande wa NHIF ambapo hutohitaji tena kupewa kadi ya NHIF bali namba yako ya Jamii Namba inatosha.
Za Mbagala ni ubia na sekta binafsi, ngoja tuone hiyo March wataendaje📌kwa faida wanazoingiza mwendokasi ni MSHANGAO MKUBWA kuona bado tupo hoi bin taabani as if mradi umeanza jana.
Kama wanabisha wawape akina Abood,Azam na matajiri wengine waone watu watakavyofanya biashara.
📌📌Angalia jinsi matajiri wa mabasi wanavyoshusha chuma kila uchao hawasubiri kukata moto ndo washushe vyuma.
Namaanisha unatakiwa ukiingia kwenye apps za SIMBANKING ukute huduma za mwendokasi au vivuko vya ferry .AU HATA HIYO MWENDOKASI APP ukute option za mabenki ambapo saivi hakuna kuna mitandao ya simu pekee.Labda kama sijakuelewa vizuri lakini mimi huwa na top up kupitia control # iliyo kwenye card yangu ya app kwenye app ya NMB,M-pesa na Airtel Money bila shida yoyote.
Au ulimaanisha bank yako inayokuhudumia hai-support kulipa?
Sawasawa wa kishua!!!Mimi sijawahi kupanda mendo kasi siwezi kujua hilo.
Jamaa katoa maoni ya option njia za malipo,sio kitu kibaya.
SEKTA BINAFSI WAPEWE ZOTE.SERIKALI IBAKI KUWA REGULATOR!!!Za Mbagala ni ubia na sekta binafsi, ngoja tuone hiyo March wataendaje
🚨🚨kitengo cha MASOKO KIPO KINAKULA TU MSHAHARA NA EXTRA TIME🤗🤗🤗Sawasawa wa kishua!!!
Sikusema ni kitu kibaya,nimeshangaa tu na siyo yeye peke yake ni wengi bado hawajajua kama kuna opti ya app za Mwendokasi.
📌📌📌Ni huzuni kwakweli!!!Kama Simu haiwezekani kwanini wasitumie mfumo wa N-Card ?
Kuna usumbufu sana wakati wa kukata tiketi zao.
Kuna wakati chenji inakuwa tatizo hadi wanasema uwe na chenji kamili.
Wajiongeze hapo
Hatutak tunataka tulipe cashalafu mnakuja kulialia hapa hampewi chenchi😀😀😀
Unashindwa nini kununua simu ya elfu 70 acheni kudekadeka maendeleo yanagarama yake.
📌📌Msipobadilika mtaendelea KUBANANA kwenye hayo mabasi kama nyanya kwenye TENGA.
WANAFUNZI NDO WAWE NA KADI ILA KWA RAI WENGINE NI HERI KUTUMIA NJIA YA KUSCAN.
📌📌📌YAANI MADUKA TU MADOGOMADOGO WANA LIPA NAMBA SAIVI HATUBEBI CASH TUNASCAN TU MAMBO MSWANO MWENDOKASI WAO WANAFELI Wcash
Hata ivyo kwa maelezo yao ni kama serikali ni wamiliki wa miundombinu tu, si unajua bara bara ni za ummaSEKTA BINAFSI WAPEWE ZOTE.SERIKALI IBAKI KUWA REGULATOR!!!
NA WAWE MAKAMPUNI TOFAUTI KWA KILA NJIA ILI TUONE UFANISI WA KITOFAUTI TOFAUTI NA USHINDANI.PIA KUPUNGUZA MONOPOLY🤝
Hatutak tunataka tulipealafu mnakuja kulialia hapa hampewi chenchi😀😀😀
Unashindwa nini kununua simu ya elfu 70 acheni kudekadeka maendeleo yanagarama yake.
📌📌Msipobadilika mtaendelea KUBANANA kwenye hayo mabasi kama nyanya kwenye TENGA.
WANAFUNZI NDO WAWE NA KADI ILA KWA RAI WENGINE NI HERI KUTUMIA NJIA YA KUSCAN.
📌📌📌YAANI MADUKA TU MADOGOMADOGO WANA LIPA NAMBA SAIVI HATUBEBI CASH TUNASCAN TU MAMBO MSWANO MWENDOKASI WAO WANAFELI Wcash
Tutorial na tunakula chenchi zenu kama wapumbavu📌📌Hiyo mijitu isiyotaka maoni na mawazo ndio hiyo mifanyakazi ya mwendokasi mijizi inakazi ya kushikilia chenchi za watu.
Wanaondoa cash sababu ya ukosefu wa chenchi na usumbufu mwingine. Hiyo mifumo ya digital hata senti watazikusanyaHatutak tunataka tulipe cash
Tusiangalie kutokujua mkuu,lets focus na ushauri ambao ameutoa.Sawasawa wa kishua!!!
Sikusema ni kitu kibaya,nimeshangaa tu na siyo yeye peke yake ni wengi bado hawajajua kama kuna opti ya app za Mwendokasi.
Lakin mwendokasi si umewahi kupanda?Mimi sijawahi kupanda mendo kasi