Hivi kwanini Nahreel na Aika hawapati sapoti ya kutosha Bongo ili hali wako na sound ya tofauti kuzidi wasanii wengi wa kwenye A list

Watu wa mzik huwa hatupati shida sana kujua mziki mzuri
Ila
Ila
Ila
Mziki wa bongo na dunia una mambo ya kik kitu ambacho navykenzo hawana kama si kiko basi kitu chakuwafanya saa zote wawepo kwenye vyombo vya habari
 
Sio watu wa kiki sana , alafu wamegoma pia kuwa CHAWA wa chama tawala
 
Mziki wa biashara una kiki nyingi snaaa bila hivyo utoboi😜😜😜
 
[emoji91][emoji91]
 
Nadhani masikio ya watu wengi yanafurahia vitu virahisi, mfano nyimbo za Zuchu na boss wake. Zimekaa kama nursery rhymes na zinahit na kuchuja ndani ya wiki 2. Kusema kweli binafsi zimenishinda kusikiliza lakini za hawa jamaa navy kenzo, unasikia kabisa yaliyomo yamo. Hamna tofauti kubwa na akina Patoranking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…