McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Nimekaa hapa nimejiuliza benki kubwa zaidi Tanzania ni CRDB, NMB na NBC
Sasa CRDB na NMB wenyewe wako kwenye soko la hisa kwa muda mrefu sana, NMB wako tangu mwaka 2008
Kwanini hii benki ya NBC haiko kwenye soko la hisa?
Kuna siri gani huko kwenye hii benki mpaka haitaki watu waende kununua na kuuza hisa?