Hivi kwanini Rais asitangaze tu hali ya hatari kuanzia sasa hadi 2030 tu?

Benson Mramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
766
Reaction score
1,884
Ni dhahiri hakuna uhuru unaotakiwa kwasasa sio wa kisiasa, mawazo, kuabudu wala mwingineo wowote!

Ili kuokoa gharama na fedha za walipa kodi hususan ukizingatiwa kuwa nguvu inayotumika kudhibiti wapinzani wa serikali ni kama vile vipo taarifa za kiitelijensia za viashiria vya hatari, basi Rais atangaze hali ya hatari.

Hali ya hatari itafuta uchaguzi, bunge, siasa, dini zitapewa muda wa kuabudu n.k

Kwa kufanya hivyo nchi itatulia na tutapumua na kuokoa maisha na gharama
 
Martial law haitangazwi kirahis, matter of fact sijui kama kuna rais amefanya hivyo before
 
Wakati ukuta waswahili wanasema,wenye kuamini wanakwambia wakati wa Mungu ni wakati sahihi.Hivyo tuwe na subira kidogo.

Kiza kinapozidi ujue kupambuza kupo karibu
 
Back
Top Bottom