Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Martial law haitangazwi kirahis, matter of fact sijui kama kuna rais amefanya hivyo beforeNi dhahiri hakuna uhuru unaotakiwa kwasasa sio wa kisiasa, mawazo, kuabudu wala mwingineo wowote!
Ili kuokoa gharama na fedha za walipa kodi hususan ukizingatiwa kuwa nguvu inayotumika kudhibiti wapinzani wa serikali ni kama vile vipo taarifa za kiitelijensia za viashiria vya hatari, basi Rais atangaze hali ya hatari.
Hali ya hatari itafuta uchaguzi, bunge, siasa, dini zitapewa muda wa kuabudu n.k
Kwa kufanya hivyo nchi itatulia na tutapumua na kuokoa maisha na gharama
Nimemic kunguru wenye kora nyeupe, kikikikiMama SAMIA kaza hivyo hivyo,mpaka Watanzania matahira yapate akili.Yanapenda vitu vizuri huku yakiwa nyuma ya mlango vitu vizuri vinapiganiwa.