Hivi kwanini serikali haijaongeza scale za mshahara kama kima cha chini ni 500k . Kwanini shahada asianze na mshahara wa 1M angalau maisha yamepanda.

idiomer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
289
Reaction score
342
Tupunguze mabajeti ya v8 huko na vitu vya hovyo.

Degree mwalimu aanze na 700k mwaka 2016 hadi leo anaanza na 700k ????
 
Engineers, ICTO'S, QS Ndio mishahara yao wanayoanza nayo, tena ni zaidi ya hiyo.
Jitahidi usomeshe watoto sayansi, ungwini kwenye ajira sio kivile
 
Hao wote wakienda halmashauri ni chin ya 1M ni salary scale D
Inacheza around 925000/÷ hivi basic
Ila kwenye taasisi p1tamu
 
Back
Top Bottom