Hivi kwanini sisi binadamu hatuna plate number kama yalivyo magari na vyombo vingine vya moto?

Hivi kwanini sisi binadamu hatuna plate number kama yalivyo magari na vyombo vingine vya moto?

Magari yana majina kama Toyota, Bmw, Mercedes pia katika Toyota kuna majina tena Crown, Ist Vits etc. Why do they still having plate number
Nadhani ishu ni kuwa easy identified or recognised. Je, sisi binadamu hatuhitaji kuwa easy recognised? Yaani uweze kupata chap details za mtu bila kupata access ya kitambulisho chake cha Nida, kura etc
 
Plate number Yako c ndio kitambulisho chako Cha nida mkuu 🤔🤔🤔🤔..Kwa nchi za wenzetu mbona Kila raia wake anakitambulisho ambacho Kwenye mifumo ya serikali taarifaa zake zt zipo wazi kbs km magari taarifaa zake zilivyo Kwenye mfumo ,hasa nchi zilizoendelea ,,

Huku kwetu CCM wanatuchelewesha kupata vitu km hvyo ,hyo nida yenyewe kuipata mtitiii..
 
Plate number Yako c ndio kitambulisho chako Cha nida mkuu 🤔🤔🤔🤔..Kwa nchi za wenzetu mbona Kila raia wake anakitambulisho ambacho Kwenye mifumo ya serikali taarifaa zake zt zipo wazi kbs km magari taarifaa zake zilivyo Kwenye mfumo ,hasa nchi zilizoendelea ,,

Huku kwetu CCM wanatuchelewesha kupata vitu km hvyo ,hyo nida yenyewe kuipata mtitiii.
Sawa lakini mbona magari yana majina pia yana official documents kuyahusu, Lakini bado yana plate number???
Au labda iwe hivi, unaweza kunipa faida ya plate number katika gari ambayo sio muhimu kwa ikiwa kwa binadamu??🤔😀
 
Ukienda bank hutambiliki kwa jina unatambulika kwa CARD NUMBER
Ukienda TRA hautambuliki kwa jina bali TIN NUMBER
Ukienda hospital hunatambulika kwa NUMBER YA BIMA YA AFYA
Ukiwa barabarani unatambulika kwa LICENSE ina number
Ukiwa mtumishi unatambulika CHECK NUMBER
Mtandao ya simu unambulika kwa PHONE NUMBER
Kuapply kaz unatambulika kwa NIDA NUNBER 😀

Hiz zinatosha kua plate number 😂😂
 
Plate number n utambulisho wa gari hii ipo chini ya utambulisho wa mtu Fulani Kwa maana wanaweka hvyo Ili serikali iweze kukusanya mapato na pia Kwa usalama zaidi🤔😄😄,,,ayaa Kwa nn clinic mama mjamzito anapewa KADI,na mtt anapozaliwa KADI inaandikwa jina lake hyo nayo inamaanisha nn mkuu🤔🤔
 
Ukienda bank hutambiliki kwa jina unatambulika kwa CARD NUMBER
Ukienda TRA hautambuliki kwa jina bali TIN NUMBER
Ukienda hospital hunatambulika kwa NUMBER YA BIMA YA AFYA
Ukiwa barabarani unatambulika kwa LICENSE ina number
Ukiwa mtumishi unatambulika CHECK NUMBER
Mtandao ya simu unambulika kwa PHONE NUMBER
Kuapply kaz unatambulika kwa NIDA NUNBER 😀

Hiz zinatosha kua plate number 😂😂
BADO Namba ya kitambulisho cha kura
Namba ya kadi ya Bima
Namba ya NSSSF

Alaf ndo PLATE NUMBER, hii iwe na details zote hizo yaan taarifa za namba zote hizo ziwe feeded humu.

Hii iwe easy recognizable
 
Au kwanini magari yasiwe na vitambulisho vya NIDA. af yakawa yanasajiriwa kabisa RITA. Kwenye vizazi na vifo.
Magari pia yana usajiliwao tena mwingi tofauti tofauti,, ila tunachokiona sisi sio Hizo sajili nyingi bali PLATE NUMBER,

PLATE NUMBER hazijirudii pia ukiipata plate number unapata hizo sajili nyingine zote za gari. Em jaribu kufikiri tena.
 
Back
Top Bottom