Mtu_ bakize
Senior Member
- Jul 8, 2018
- 168
- 239
What i was thinking mpaka kufikia hapa ni Je, nawezaje kupata details za mtu chap bila kum access yeye??Finger print zetu n plate number tosha kila mtu ana za kwake aisee au hujaliwazia na hilii
Last pope check youtube au youtube TISH TV huko wachambuaji kibapThanks let me check on it๐
Sawa lakini mbona magari yana majina pia yana official documents kuyahusu, Lakini bado yana plate number???Plate number Yako c ndio kitambulisho chako Cha nida mkuu ๐ค๐ค๐ค๐ค..Kwa nchi za wenzetu mbona Kila raia wake anakitambulisho ambacho Kwenye mifumo ya serikali taarifaa zake zt zipo wazi kbs km magari taarifaa zake zilivyo Kwenye mfumo ,hasa nchi zilizoendelea ,,
Huku kwetu CCM wanatuchelewesha kupata vitu km hvyo ,hyo nida yenyewe kuipata mtitiii.
Plate number n utambulisho wa gari hii ipo chini ya utambulisho wa mtu Fulani Kwa maana wanaweka hvyo Ili serikali iweze kukusanya mapato na pia Kwa usalama zaidi๐ค๐๐,,,ayaa Kwa nn clinic mama mjamzito anapewa KADI,na mtt anapozaliwa KADI inaandikwa jina lake hyo nayo inamaanisha nn mkuu๐ค๐คSawa lakini mbona magari yana majina pia yana official documents kuyahusu, Lakini bado yana plate number???
Au labda iwe hivi, unaweza kunipa faida ya plate number katika gari ambayo sio muhimu kwa ikiwa kwa binadamu??๐ค๐
HakikaPlate namba yako ni kipato chako
Plate namba si majina mkuu sema tu hatubandikwi bangoKila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie wote๐ซ
NiDA, benk akaunti,driving licence, nkKila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie wote๐ซ
Au kwanini magari yasiwe na vitambulisho vya NIDA. af yakawa yanasajiriwa kabisa RITA. Kwenye vizazi na vifo.Kila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie wote๐ซ
Kila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie wote๐ซ
BADO Namba ya kitambulisho cha kuraUkienda bank hutambiliki kwa jina unatambulika kwa CARD NUMBER
Ukienda TRA hautambuliki kwa jina bali TIN NUMBER
Ukienda hospital hunatambulika kwa NUMBER YA BIMA YA AFYA
Ukiwa barabarani unatambulika kwa LICENSE ina number
Ukiwa mtumishi unatambulika CHECK NUMBER
Mtandao ya simu unambulika kwa PHONE NUMBER
Kuapply kaz unatambulika kwa NIDA NUNBER ๐
Hiz zinatosha kua plate number ๐๐
Mlee katika njia nzuri, ni wachache sana huweza kufikiria vitu ambavyo wengi hawafikirii, hata kama ni chakijinga.Mkuu Qs Cathbert una maswali magumu kama mwanangu, ananiulizaga maswali magumu hadi wakati mwingine unajifanya hujasikia inabidi umpe task fulani awe bize vinginevyo anakuweka bize na maswali yake.
Plate number haitakiwi kujirudia,, Majina yanajirudia.Plate namba si majina mkuu sema tu hatubandikwi bango
Magari pia yana usajiliwao tena mwingi tofauti tofauti,, ila tunachokiona sisi sio Hizo sajili nyingi bali PLATE NUMBER,Au kwanini magari yasiwe na vitambulisho vya NIDA. af yakawa yanasajiriwa kabisa RITA. Kwenye vizazi na vifo.