Qs Cathbert
Member
- Mar 20, 2023
- 86
- 167
- Thread starter
-
- #41
Ubongo wako umefungwa na KOMEO LA CHUMA, kamwe huwezi kufikiri zaidi.Hapa hujawaza jambo gumu. Umeuliza swali la mtoto wa darasa la 2 mpaka 3. Tafuta kitu cha maana cha kufanya au jisomee vitabu upate ufaham
Hii Code ni ngumuT YAS 780
Chukua hiyo itakusaidia.
Umefungwa ili usifikirie vitu vya kipumbavu vya kitoto kama hiviUbongo wako umefungwa na KOMEO LA CHUMA, kamwe huwezi kufikiri zaidi.
Tafuta pesa, Hakuna misambwanda ya bure mkuu🤣Sema nini hivi nawaza binadamu tungekua tunaishi bila nguo ingekuaje?na hii maswambwanda ya dada zetu duh tungezoeana kweli au tunguekua kama wanayama wanakula muda wowote wakati wowote yoyote anaepita usoni
Mi ni Yanga kama wewe,, Ndo mana sio MBUMBUMBUMashabiki wa Simba ni mbumbumbu sana
KITAMBULISHO CHAKO CHA TAIFA (NIDA) ndio Plate Number yako, ukipenda chukua hiko kitambulisho chako cha NIDA ukiweke/ukibandike nyuma mgongoni/makalioni.Kila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie wote🫠