NyegereBOY
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 225
- 328
Wakuu kama kichwa kinavyoeleza nimeanza kuwa na mapenzi ya dhati na Subaru Impreza za kuanzia mwaka 2012 tofauti na matoleo ya Nyuma kwakuwa za Nyuma niliziona ziko chini sana tofauti na hizi new model
Wasi wasi wangu ni kuwa nyingi nazo zifahamu au kuziona Mtaani na hata mtandaoni huuzawa mara tu baada ya kununuliwa hili linanipa maswali kadhaaa
1 Kwanini huuzwa haraka na zikiwa na usajili mbichi
2 Zinachangamoto Gani inayopelekea walionunua kuuza Kwa bei rahisi tofauti na manunuzi na ukilinganisha na usajili Kwa makadirio show room ni kama 22 Hadi 18M ila ni kawaida kukuta namba E ikiuzwa 14-12M
Mwenye ujuzi na ufahamu kidogo kuhusu hizi gari atuelekeze kidogo na changamoto zake nilikuwa nafikiria kuivuta mwakani mapema