Stefano Mtangoo
Kama ungekuwa umefuatilia ungenielewa ngoja nikueleweshe chonde chonde usipoelewa na hapa ndo basi tena ipo hivi.
Trump as america president anashirikiana na taasisi mbalimbali sio kwamba kila kitu anaamua yeye.
Mchezo upo hivi.
Kulikuwa na commission in. White house to deal with security risky associated with pandemic aliyeanzisha hii taasisi ni Obama lakini mwaka 2018 trump adminstration wakaifutilia mbali kwa maelezo kwamba wanabana matumizi na pia kama muendelezo wa trump kufuta sera zote alizoacha Obama (chuki na kuhofia kutofanya vyema kama obama inachangia pia na labda ubaguzi wa rangi) hii ni kete ya kwanza
Baada ya gonjwa kugundulika wuhani Amerika officially walijulishwa mwishon mwa December. Na WHO ikadeclare kwamba hili gonjwa ni pandemic na kuziambia nchi kuchukua hatua na mwisho wa mwezi januari. Kitu walichositiza ni ni test test test and isolate hapa Germany concelar akakaa na wataalamu wake wakamwambia watu laki watakufa Germany kama isipoanza kazi mapema. Hali ilikuwa tofauti kwa trump kwani alikataa kata kata kuanza kufanyia kazi yeye alikuwa anawaza tu kufanya campaign. Usidhani kwamba hakuletewa taarifa aliletewa na akawa mbishi anajiona mjuaj
Ipo waz kabisa trump kwanza akasema corona sio gonjwa pa kuogopa, wazir wa biashara cavarro akaandika memo juu ya hatari hii baada ya juhudi zake kumshwawishi kugonga mwamba juu ya balaaa linalokuja mwezi wa pili
Apa trump akawa anajiona kichizi kisa usa kuna vifo vichache na wagonjwa kumi na tano akiulizwa nabwaandishi anasema corona itaondoka yenyewe
Trump hakuweka lockdown yoyote magavana baada ya kuona serikali kuu haina clue ndobwakaanza juhudi binafsi huu mwezi wa tatu watu wanaumwa na test hawawezi pata karibu miezi miwili
Mpaka sasa bado test zinasumbua ingawa wamekuja na test za faster lakin bado kuna uhaba
Kituko magavana wakaambia kila mmoja ajiokoe kivyake hivyo majimbo yakaanza kugombea vifaaa na kupaisha bei na serikali kuu ikawa nayo inanunua
Ilikuwa ni test ambako trump kafeli vibaya lakini kosa sio lake kosa ni kwa wamerekani wote waliomchagua kwa kujitanguiza wao mbele wakati wana majukumu kwa dunia nzima
Utakuwa umeweza kushangaa kwa nini kuna sintofahamu kwa sababu Marekani hajaplay part yake watu tumeshazoea kuona amsha amsha Marekani wanazofanya kuhamasisha na kuwa mastari wa mbele kupigania mambo ya haki. Mgerumani kujisaidia mwenyewe kimya kimya hata muitali hajsaidia mchina ndo wala hana habari ye anauza tuu. Ingekuwa kuna raisi mwingine pale ikulu ya Marekani ongeona viongozi wakinyoshewa vidole vya kutokucheA na uhai wa watu.