Hivi kwanini tunafikiri kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni vibaya?

Hivi kwanini tunafikiri kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni vibaya?

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
3,160
Reaction score
1,726
Unajua nimekua nikitafakari kidogo bila kupata jibu linaloniridhisha.
Hivi ni kwanini tumejiwekea utaratibu na kukubali kwamba tendo la mapenzi baina ya wa wazima wawili, waliokubaliana na hawako katika ndoa ni baya?

Wapi kuna tatizo la mimi kupendana na kuonyeshana ishara ya mapenzi yangu na mabinti wengine kadri navyoweza kupanua upana wa mapenzi yangu?

As long as the people invloved are not married and have thus not taken any vow or promise to be in a monogomous relationship, I think it is immensely unfair and unfounded for to place negative labels on the free lovers of this world.

Haumizwi mtu, halazimishwi mtu, tunaanza kwa furaha, tunatenda kwa furaha zaidi na kumaliza kwa furaha zaidi. Unajua hata ile amri ya usizini katika dini zetu za kikristo na kiislamu ilikua ikimaanaisha usitende tendo hili na mtu aliye oa au olewa.
But there is nothing wrong if the act is between two healthy consenting adults!!
 
Kwa sababu tendo la ndoa lenyewe ni "Agano"/"covenant".
Tendo la ndoa sio feelings tu,lina involve spirits/roho pia.
 
Freud angesema kwa sababu wengi wanaambiwa hivyo na jamii, wazazi, dini etc tangu wakiwa watoto.
 
Kweli ni vibaya sana coz ukizoea kuonja onja unakuwa si mtu wa kula na kushiba. You will always be looking for new talents. Utamu wa Juma si sawa na Hamisi na si sawa na Muddy. Heri ungoje uolewe ujue utamu mmoja tu wa mumeo, utamuheshimu na kumpa viwango vypte ila ukiwa ushaonja onja utamuona ***** tu ukimpisha na Juma.
 
hapa sema tuna muhofia Sir God, ila binafs hamna bud kufaham ladha ya mwenzako kabla, maana wengne wana matatzo yao bnafs ya kmaumble
 
unajua nimekua nikitafakari kidogo bila kupata jibu linaloniridhisha.
Hivi ni kwanini tumejiwekea utaratibu na kukubali kwamba tendo la mapenzi baina ya wa wazima wawili, waliokubaliana na hawako katika ndoa ni baya?

Wapi kuna tatizo la mimi kupendana na kuonyeshana ishara ya mapenzi yangu na mabinti wengine kadri navyoweza kupanua upana wa mapenzi yangu?

As long as the people invloved are not married and have thus not taken any vow or promise to be in a monogomous relationship, i think it is immensely unfair and unfounded for to place negative labels on the free lovers of this world.

Haumizwi mtu, halazimishwi mtu, tunaanza kwa furaha, tunatenda kwa furaha zaidi na kumaliza kwa furaha zaidi. Unajua hata ile amri ya usizini katika dini zetu za kikristo na kiislamu ilikua ikimaanaisha usitende tendo hili na mtu aliye oa au olewa.
But there is nothing wrong if the act is between two healthy consenting adults!!

naona unajitahidi sana kupindisha sheria mzee.........kumbuka haramu itaendelea kuwa haramu na halali itaendelea kuwa halali tu, no way out mzee
 
Kama malezi na mafundisho yanataka waoanaji wawe wanafahamiana vizuri, basi hapana shaka kufanya ngono kabla ya ndoa, ni sehemu ya kufahamiana. Mafundisho ya dini yanatufaa nini kama yanatuzuia kufahamiana kwa uzuri? Logic iko wapi, uchumbie, utoe mahari, uandae harusi na ufunge ndoa, only to find kwamba huyo unayemwoa hana hicho unachokitaka wewe? Ktk mazingira hayo, makatazo yanasaidia nn??
 
Mwaka 47 ilikuwa ni vibaya kwa wanandoa watarajiwa kunaza kufanya mapenzi kabla ya kuwemo kwenye ndoa lakini kwa mwaka 2012 kwa maoni yangu sioni tatizo lolote lile. Mnabidi mpendane maeneo yote muhimu ya ndani ya ndoa vinginevyo ndoa itaota magugu pale mtakapogundua kwamba compatibility ndani ya ule uwanja maarufu wa Wembley ni SIFURI.

Last edited by a moderator:
Imani zetu kidini. Ni sawa na kufanya tendo hilo na asiye mwenza wako wa ndoa
 
Ili tusiuziane mbuzi kwenye gunia inabidi testing iwe muhimu.

Wengine ni kama gogo kunako majamboz so ukiamua kuweka ndani kabla ya kuonja umeliwa!!!
 
Do what you think is right n it is going to be alright with you!

Kabla sijauliza swali lolote, naanza kuyaona majibu nitakayo pewa na ninajiuliza msimamo wangu ni upi? Na be utaathiriwa na idadi ya watu watakaopinga msimamo wangu?
Kama jibu ni kuwa hautaathiriwa, l don't even bother to seek any other opinions. Nauliza pale ambapo sina uhakika na nini ninachotaka tu!
 
Kuna uzinzi na uasherati
uasherati ni kwa wale wanao do kabla ya kufunga ndoa
uzinzi ni kwa wale wanao do nje ya ndoa na yote ni makosa kwa hiyo kama unaamua kuvunja sheria vunja ila usijaribu kupindisha sheria iwe inaku favour.yote ni makosa na yatabaki kuwa makosa.PERIOD
 
Do what you think is right n it is going to be alright with you!

Kabla sijauliza swali lolote, naanza kuyaona majibu nitakayo pewa na ninajiuliza msimamo wangu ni upi? Na be utaathiriwa na idadi ya watu watakaopinga msimamo wangu?
Kama jibu ni kuwa hautaathiriwa, l don't even bother to seek any other opinions. Nauliza pale ambapo sina uhakika na nini ninachotaka tu!
Kaunga huwa napenda kuuliza ili kutaka kuelewa tu kwanini wengine wafikirie tofauti. Sio kwamba natafuta kuchukua advice ya mtu hapa jinsi ya kuendesha maisha yangu. That will be rediculous! But it is usually enlightening to understand why others think what they think.

Kwa sababu tendo la ndoa lenyewe ni "Agano"/"covenant".
Tendo la ndoa sio feelings tu,lina involve spirits/roho pia.
Tendo ni covenant? What is a covenant and what are the terms of the covenant? Ku involve spirits na roho ndio kufanye usifanye kabla ya ndoa? How?
naona unajitahidi sana kupindisha sheria mzee.........kumbuka haramu itaendelea kuwa haramu na halali itaendelea kuwa halali tu, no way out mzee
Mkuu lakini tukapewa ka akili kidogo kaku uliza. In actual fact nionyeshe pale unapofikiria umekatazwa. Nikuonyeshe kua hujakatazwa.
Kweli ni vibaya sana coz ukizoea kuonja onja unakuwa si mtu wa kula na kushiba. You will always be looking for new talents. Utamu wa Juma si sawa na Hamisi na si sawa na Muddy. Heri ungoje uolewe ujue utamu mmoja tu wa mumeo, utamuheshimu na kumpa viwango vypte ila ukiwa ushaonja onja utamuona ***** tu ukimpisha na Juma.
The opposite is very true. Tena ndio ukutane na asiye kusatisfy ndio inakua taaaabu zaidi maana utaendelea kuwaza hivi ningejiskieje kama ningekua na flani? How different would it have been from this? Thats how curiosity killed the cat...

Ukweli ni kwamba it's only taboo sababu wengi wetu tumefundishwa hivyo toka wadogo ili kuepushwa kuingia kwenye kitu tusichokielewa vizuri. Lakini baada ya kufikia umri wa kuelewa, it's an experience to be fully and responsibly enjoyed by everybody!
 
Last edited by a moderator:
Ubongo Harage unajua wengi wenu mnakazania ni vibaya tu bila kutoa sababu za maana. Haya tukubali ni vibaya, je kwanini kiwe kibaya basi? Hii mentallity ya kufwata tu blindly kitu kisa waliopita nao ulikuta wanafanya hivyo ni an insulte to individualism. Even robots think these days!

Hahaha King'asti and Mom is ALWAYS right sio! Wewe ndio umetoa the most convincing argument against!
 
Different tales for different folks....Wako vichaa wanao penda kwenda nje ya mipaka ya mungu, na kuihalalisha na wako wanao ogopa aliyo yakataza mungu....BTW, I quite agree that to have sex is your own choice...Kwa kuwa we unaona kufanya sex kabla ya ndo sio kosa....Wewe kafanye tu sex, lakini huwezi kuvuruga akili zetu sisi tunao amini kwamba kufanya sex kabla ya ndoa, ni kosa kubwa sanaaaaaaaa.
 
hapa sema tuna muhofia Sir God, ila binafs hamna bud kufaham ladha ya mwenzako kabla, maana wengne wana matatzo yao bnafs ya kmaumble

Hivi kumuita Mungu "Sir" ni kumsifia au kumdhalilisha?
Jina lake lina jitosheleza lenyewe,....Sir ni sifa ya kibinadamu,
tena inayo tolewa na malkia,..

Kumuita Mungu Sir ni sawa na kumlinganisha na kina ferguson,Elton John,Andy chande etc.
Ni matusi.
 
Back
Top Bottom