Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Jana Tarehe 2.10.2024,
Nilikua naongea Sehemu. Kuna kitu nilikua sijui ikabidi niulize nasikia mara nyingi Rais anaitwa Mama Samia. Anamtoto anaitwa Samia?
Wakaja wajuzi wakaniambia Samia ni Jina lake. Kwa mtazamo wangu, kwani Tukimuita Rais MH: Samia Suluhu vipi haitoshi au uchawa ndo umesababisha, mpaka kumuita Mama.
Swali je ikitokea Nchi kashika Mwanaume Tutamuita Baba..Au Hapo imekaaje waungwana.