Hivi kwanini Tundaman anamchukia sana Diamond Platnumz?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Nimemchunguza kwa muda mrefu na hatimaye nimegundua kuwa msanii kutoka tiptop connection Tundaman aliyewahi kutamba na ngoma kama vile starehe gharama , nipe ripoti nk anamchukia kupita kiasi msanii anayesumMusic

unia kwa sasa kutoka nchini Tanzania ambaye si mwingine bali ni Naseeb Abdul (Diamond Platnumz).

Sielewi kwa nini Tundaman anachuki zilizopitiliza kwa diamond hali ya kuwa diamond hamchukii yeye (tundaman) na hata akitaka msaada wa aina yoyote ile diamond kiroho safi atamsaidia.

Tundaman mara kwa mara amekuwa akimkandia sana diamond sielewi kwa nini ana roho mbaya kiasi hiki sijui ni mmakonde au mzaramo huyu maana wamakonde na wazaramu wanaongoza kuwa na roho za kwa nini bila sababu yoyote ile ya msingi.

Diamond kwa kuonesha hana chuki na Tundaman amemfollow mpaka instagram kitu ambacho ni cha kipekee sana yaani msanii wa kimataifa kama yeye amfollow mtu wa hovyo mwenye roho mbaya kama Tundaman.

Zamani nilikuwa namkubali sana Tunda ila baada ya kugundua anamchukia Chibu bila sababy aisee siku hizi simkubali kabisa yaani.

Wasanii wengi hapa nchini wamekuwa wanamchukia sana diamond lakini mwisho wa siku nafsi zinawasuta na kuamua kujirudi wenyewe mfano H-baba naye mwanzoni alikuwa anamkandia diamond mara kwa mara lakini mwisho wa siku alijutia sana maamuzi yake na akaamua kujirudi kwa diamond kwa kuanza kumpost mara kwa Mara akimsifia sifia.

List ya wasanii wengine wanaomchukia diamond bila sababu ya msingi ni hii hapa.

1)Mr Blue

2)Dulla Ambua(Dulla wa Planet Bongo

3)Baraka the prince

4)Q chief

5)TID

6)Timbulo

7)Aslay


*Rich Mavoko; huyu mwanzoni naye alikuwa akimkandia diamond mara kwa mara kabla ya kuja kumpigia magoti na kuomba kuinuliwa na diamond.

Hawa ndio magwiji ingawaje wapo wengine ambao wanajifanya hawamkubali diamond lakini kimoyo moyo wanamkubali sana

1)Ali Kiba

2)Ommy Dimpoz

3)Neddy Music

Kwa mwendo huu wasanii wa TZ kufanikiwa itachukua muda mrefu sana yani badala ya kumtumia diamond ili na wao wafanikiwe badala yake wanapambana kumshusha kila kukicha.


Lakini diamond wala hana kinyongo nao kiroho safi amekunjua roho muda wowote wakihitaji msaada kutoka kwake atawasaidia.
 
Sema wanamwonea wivu.
Wana roho za kishetani sana.

Diamond mtu poa sana yaani hata viigizaji uchwara vya bongo muvi na hivi viimba singeli diamond ame vifollow na anavipa sapoti yoyote ile wanayoitaka lakini wao hakuna jema wanalomfanyia zaidi ya kumkandia.

Laiti ningelikuwa mimi nipo level ya diamond vijitu uchwara uchwara vingi ningeacha kuambatana navyo.
 
Habari yako my kk imekaa kiukabila nabuchonganishi

Hakukuwa na sababu ya kuweka makabila ya watu hapo
Huo ndio ukweli labda nidanganye.


Wamakonde na Wazaramo ni kabila za watu wenye roho za kwa nini sana
 
We kumpenda Mond unataka dunia nzima sote tumpende!!! come on mae.
Hata akipendwa na Mkewe na mama yake inatosha sana, mi nadhan sababu znazokufanya umpende Mond pengne ndizo sababu znazopelekea wanaomchukia wamchukie, come on mae....
 
Sasa TID naye amchukie Diamond si Shida hii jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…