Hivi kwanini Tundaman anamchukia sana Diamond Platnumz?

acha wivu wewe wapi tunda kaonesha chuki kwa mondi,hata hao uliowataja huna ushahid wowote zaidi ya kuongozwa Na intuition zako!no research no right to speak
 
Kuna siku tulipata kazi kwa Diamond Madale, nilikua busy akaenda jamaa yangu. Ndo nilipokubali jamaa hana shida, mtu poa nahisi hajapata kutokea.
Mimi sio shabiki yake, nakiri Diamond mtu poa sana.
 
we umejuaje wanamchukia?acha uchochezi bro
 
Kuna siku tulipata kazi kwa Diamond Madale, nilikua busy akaenda jamaa yangu. Ndo nilipokubali jamaa hana shida, mtu poa nahisi hajapata kutokea.
Mimi sio shabiki yake, nakiri Diamond mtu poa sana.
Nafasi aliyopo Mondi kuna Wasanii wangeipata, mama yangu weee.
 
Kuna siku tulipata kazi kwa Diamond Madale, nilikua busy akaenda jamaa yangu. Ndo nilipokubali jamaa hana shida, mtu poa nahisi hajapata kutokea.
Mimi sio shabiki yake, nakiri Diamond mtu poa sana.
Mondi Hommie sana ila watu hawajui
 
Diamond ni zawadi straight kutoka kwa Mungu kwa watanzania. kila mtu anajua revolution alizofanya kwenye muziki huu, siku akifa atazikwa na wengi sana pia hata hao wanaomchukia watajuta na kulia kimoyomoyo.
 
Duh zawadi kutoka kwa Mungu ???Mungu huyu huyu alieumba mbingu na ardhi au?
 
Back
Top Bottom