Mwanaume kamaili utampendaje mwanaume mwenye muonekano wa kisshoga. Usiende mbali kwani kkanndinda na remtullah wanapendwa na watu wa jinsia gani?
Justin bieber how old is he? Na wewe una miaka mingapi? Michael Jackson ulimpenda alivyokuwa na umri wa bieber .Kila kitu kina Muda wake .huu in uchunguzi usio rasmi nloufanya, nimegundua kuwa machiz wengi wanam-diss bieber sasa cjui kama ni wivu au in vipi
mbona Elton john, Michael Jackson etc ni mashoga+ wana muonekano Wa kishoga lakini mwawakubali...
mbona Elton john, Michael Jackson etc ni mashoga+ wana muonekano Wa kishoga lakini mwawakubali...
Amekaa kishoga shogaa
Dina kumbe hadi upande wa pili umeona hili?
Ni kawaida, mwanaume yoyote anayekuwa sweetheart anachukiwa na wanaume wengi na baadhi ya kina dada wasiojaaaliwa.
Hii ni ata mitaani.