Hivi kwanini vijana wengi wa kiume hawampendi Justin Bieber?

Hivi kwanini vijana wengi wa kiume hawampendi Justin Bieber?

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,641
huu in uchunguzi usio rasmi nloufanya, nimegundua kuwa machiz wengi wanam-diss bieber sasa cjui kama ni wivu au in vipi
 
Mwanaume kamaili utampendaje mwanaume mwenye muonekano wa kisshoga. Usiende mbali kwani kkanndinda na remtullah wanapendwa na watu wa jinsia gani?

mbona Elton john, Michael Jackson etc ni mashoga+ wana muonekano Wa kishoga lakini mwawakubali...
 
huu in uchunguzi usio rasmi nloufanya, nimegundua kuwa machiz wengi wanam-diss bieber sasa cjui kama ni wivu au in vipi
Justin bieber how old is he? Na wewe una miaka mingapi? Michael Jackson ulimpenda alivyokuwa na umri wa bieber .Kila kitu kina Muda wake .
 
Hata Mr Bluu enzi zile anakimbiza alikuwa anachukiwa na masela. Mtoto mdogo halafu maduu wanazimika mbaya kwake lazima vidume vione gere
 
Anachukiwa kwa ajili ya kiburi na madharau,kauli anazotoaga huwa za kiburi sana,hata kuna wakati alikuwa anahojiwa na polisi akawa anawakemea,dogo ana kiburi sana,we ushawahi kuona msanii gani anawatemea fans wake,aliwahi kuingia restaurant akakojoa kwenye dustbin kuwakera tu watu kisa ye ni star
 
Ni kawaida, mwanaume yoyote anayekuwa sweetheart anachukiwa na wanaume wengi na baadhi ya kina dada wasiojaaaliwa.

Hii ni ata mitaani.
 
Ngozi nyeusi ni laana! eti mtu anamuonekano wa kishoga kivipi sasa! semeni hatumpendi kwasababu katuzidi kwa kila kitu! Beiber kwa wiki 1 anatumia Bil 3! wew hapo hadi tunakuzika hutakaa ushike zaidi ya Mill 2 tena ya mkopo!
 
article-2395633-1B52ACCE000005DC-779_634x383.jpg


usimchukie mtu kisa kakuzidi kimafanikio! umesoma una digree 2 bdo huna pango la kulala dogo kaishia form 4 ila kakuzidi kimafanikio
 
justin-bieber-chrome-fisker-police.jpg


umaskini bhana! unakufanya kuwa na mawazo ya kijinga
 
justin-bieber-chrome-fisker-police.jpg


umaskini bhana! unakufanya kuwa na mawazo ya kijinga
 
Watoto kwa watoto

Watu wazima kwa watu wazima
 
Ni kawaida, mwanaume yoyote anayekuwa sweetheart anachukiwa na wanaume wengi na baadhi ya kina dada wasiojaaaliwa.

Hii ni ata mitaani.

Mbona rapper mase, masela walikuwa na wanamkubali sana. Na ndiye alikuwa anapendwa sana na mashiii ...
 
Back
Top Bottom