Hivi kwanini vijana wengi wa kiume hawampendi Justin Bieber?

Hivi kwanini vijana wengi wa kiume hawampendi Justin Bieber?

Katakuwa kamebandika chumbani kanamolala magazeti kibao yenye picha za Justin,mpaka kanapata msongo wa mawazo,tukahurumie tu.
 
Mase aliacha mziki kwa sababu alikuwa anasumbuliwa na maddemu sana lakini alikuwa anakubalika na masela kinoma.............."What the hell you looking for? I was Murder Pdiddy named me the pretty"
 
C sababu ya mafanikio but ako na swaga za Kishoga, mbona akina usher, Chris Brown, etc wako poa na wanapendwa na maduu na hata maboyz hawana noma nao
 
he is talented..though cocky...foolish age maybe...
 
Kwa kuwa ni handsome so wanajisikia wivu
 
1425230629916.jpg

Huyu dogo ni choko so hatuna budi kumchukia
 
mbona Elton john, Michael Jackson etc ni mashoga+ wana muonekano Wa kishoga lakini mwawakubali...

embu sema, michael jackson enzi za uhai wake alipendwa mpaka basi, ila muonekano wake mia ya mia shoga, so muonekano sio sababu
 
hivi unaanzaje kumchukia mtu asijejua hata kama upo duniani???
 
SWALI: Kwa nini vijana wengi wa kiume hawampendi Justin Bieber ?

JUBU: Kwa sababu na yeye hapendi sana kina kaka, anapenda kina dada.
 
Back
Top Bottom