ram Platinum Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,385 Reaction score 8,645 Dec 27, 2012 #41 Big up kama unakumbuka home, home ni home hata kama ni chini ya mbuyu, sisi tupo bhana kama wanatudharau waendelee tu kutudharau lakini Tanganyika hatuondoki ng'o, manake hapa ndo kwetu bhana Ngongoseke said: Ram mimi nabeba box lakini sidharau watu wa home tena nafagilia home sana tu Click to expand...
Big up kama unakumbuka home, home ni home hata kama ni chini ya mbuyu, sisi tupo bhana kama wanatudharau waendelee tu kutudharau lakini Tanganyika hatuondoki ng'o, manake hapa ndo kwetu bhana Ngongoseke said: Ram mimi nabeba box lakini sidharau watu wa home tena nafagilia home sana tu Click to expand...