Babake mwanaidi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 641
- 694
- Thread starter
-
- #21
What do you know you hideous cartoon with trolling sentiments?your posts are always full of shit. What do you possess btwn your ears?
Wakati mwingine uwe unatumia ubongo kabla ya kutaipu .
Unapenda kuhukumu wakenya sana. Nyie wabongolala si malaika
Kiingereza si lugha yanguSasa unadhani ukiongea kingereza ndo tutakuona una akili sana wewe mkenya?
Ondoa uwongo wako hapa walahiJapo kuna ka ukweli. Lakin hujachek wadada wa bongo.. ikitokea chance ataenda nae hata kama ni huyo mzungu ni mzee
Ondoa uwongo wako hapa walahi
Malaya ndio wanapenda wadhungu sio wadada wenye akili zao timamu walahi
Duh lijitu wewe unaichukia sana nchi yako walahi
Na nchi yako nayo inakulaani walahi
Povu..muache mwenzako naye awaumbueOndoa uwongo wako hapa walahi
Malaya ndio wanapenda wadhungu sio wadada wenye akili zao timamu walahi
Duh lijitu wewe unaichukia sana nchi yako walahi
Na nchi yako nayo inakulaani walahi
Nchi hailani mtu..uzalendo umemjaa sana huyo mjinga..Sio uwongo ndugu. Hao wenye akili ni wakuhesabu na niwachache. Wengi tamaa ya pesa mpaka kwenye nywele... tamaa nje nje muda wote.
Sichukii nchi yangu ila nasema ukweli...
Anaeweza kunilaan ni Mungu pekee..
Mbona humu wakenya mnatukana matusi ya ajabu, huko ndio kudadavua. Waone!Huu umbea wa Facebook na mapenzi peleka kwenye jukwaa la mapenzi la JF. Ifahamike Kenyan section ina hadhi yake, huku tunajadili vitu vinavyohitaji matumizi ya ubongo, kama vile udadavuaji wa uchumi na maswala mengine ya great thinkers.
Japo kuna ka ukweli. Lakin hujachek wadada wa bongo.. ikitokea chance ataenda nae hata kama ni huyo mzungu ni mzee
ina wazungu wamegeuza wanaume wa Kenya mashoga kule mombasaJapo kuna ka ukweli. Lakin hujachek wadada wa bongo.. ikitokea chance ataenda nae hata kama ni huyo mzungu ni mzee
Ni hulka yao hao nyang'au tangu enzi za uhuru. Wasikushangaze kabisa.Nimefanya uchunguzi wangu binafsi nimegundua Wakenya (sio wote) wanawahusudu sana Wazungu tofauti kabisa na watanzania wenzangu. Nimeshuhudia Kenya mwanamke yupo tayari kwa namna yeyote aolewe na mzungu atajiona bora kuliko mkenya mwenzake hali kadhalika na kwa wanaume pia.
Leo ningependa kufahamu hii mentality ya mkenya kumuhusudu sana mzungu ilitoka wapi na kwanini.?
Tafadhali msinipopoe nimeuliza kwa nia njema tu!
ina wazungu wamegeuza wanaume wa Kenya mashoga kule mombasa
Ni hulka yao hao nyang'au tangu enzi za uhuru. Wasikushangaze kabisa.
Kwamba lugha inafanya nini?Sababu mojawapo lugha
Kiingereza si lugha yangu
HujaelewekaWazungu wagani hao churaii?
Imewagusa eeh!? Acheni ushamba wa kuwaona wazungu ni bora kuliko nyie wenyewe ni uzwazwa huo.Huu uzi unapaswa kufutwa. Sidhani kama wakenya wana wakati wa kujibizana na vilaza .
Tangu ile siku Leo ndio umepata bundles? Huu Uzi ulisahaulika. Kojoa ulale. ImbecileImewagusa eeh!? Acheni ushamba wa kuwaona wazungu ni bora kuliko nyie wenyewe ni uzwazwa huo.