Hivi kwanini Wakenya mnawapapatikia sana Wazungu?

Hivi kwanini Wakenya mnawapapatikia sana Wazungu?

Sasa unadhani ukiongea kingereza ndo tutakuona una akili sana wewe mkenya?
What do you know you hideous cartoon with trolling sentiments?your posts are always full of shit. What do you possess btwn your ears?
Wakati mwingine uwe unatumia ubongo kabla ya kutaipu .
Unapenda kuhukumu wakenya sana. Nyie wabongolala si malaika
 
Japo kuna ka ukweli. Lakin hujachek wadada wa bongo.. ikitokea chance ataenda nae hata kama ni huyo mzungu ni mzee
Ondoa uwongo wako hapa walahi
Malaya ndio wanapenda wadhungu sio wadada wenye akili zao timamu walahi
Duh lijitu wewe unaichukia sana nchi yako walahi
Na nchi yako nayo inakulaani walahi
 
Sio uwongo ndugu. Hao wenye akili ni wakuhesabu na niwachache. Wengi tamaa ya pesa mpaka kwenye nywele... tamaa nje nje muda wote.
Sichukii nchi yangu ila nasema ukweli...
Anaeweza kunilaan ni Mungu pekee..

Povu..muache mwenzako naye awaumbue
 
Sio uwongo ndugu. Hao wenye akili ni wakuhesabu na niwachache. Wengi tamaa ya pesa mpaka kwenye nywele... tamaa nje nje muda wote.
Sichukii nchi yangu ila nasema ukweli...
Anaeweza kunilaan ni Mungu pekee..
Nchi hailani mtu..uzalendo umemjaa sana huyo mjinga..
 
Huu umbea wa Facebook na mapenzi peleka kwenye jukwaa la mapenzi la JF. Ifahamike Kenyan section ina hadhi yake, huku tunajadili vitu vinavyohitaji matumizi ya ubongo, kama vile udadavuaji wa uchumi na maswala mengine ya great thinkers.
Mbona humu wakenya mnatukana matusi ya ajabu, huko ndio kudadavua. Waone!
 
Nimefanya uchunguzi wangu binafsi nimegundua Wakenya (sio wote) wanawahusudu sana Wazungu tofauti kabisa na watanzania wenzangu. Nimeshuhudia Kenya mwanamke yupo tayari kwa namna yeyote aolewe na mzungu atajiona bora kuliko mkenya mwenzake hali kadhalika na kwa wanaume pia.

Leo ningependa kufahamu hii mentality ya mkenya kumuhusudu sana mzungu ilitoka wapi na kwanini.?

Tafadhali msinipopoe nimeuliza kwa nia njema tu!
Ni hulka yao hao nyang'au tangu enzi za uhuru. Wasikushangaze kabisa.
 
Kila siku mada za Wakenya na Watanzania, yupi bora kushinda mwenzake. Then ukishajua what next? Tujadili mambo ya maana JF (Home of Great thinkers) sio umbea, umbea tu.
 
Back
Top Bottom