Acha ujinga huwezi tufananisha na watu wasio kua na utu (wakenya)Watanzania 100 sawa na mkenya mmoja ukizijumuisha fikra zao ccm wapo madarakani toka 1961 maisha bado kama tupo chini ya mjerumani.
Burundi na Rwanda pia ni ndugu zetu. Tena wao ndo ndugu kabisa maana enzi ya Mjerumani (Tanganyika, Burundi na Rwanda)walikuwa nchi moja. Rwanda na Burundi zilikuwa miongoni mwa majimbo 20 ya German East Africa au Tanganyika. baada ya vita vya kwanza washindi waligawana makoloni ya mjerumani, Rwanda na Burundi akaongezewa Mbelgiji aliyekuwa anatawala Congo na sehemu ya Tanganyika iliyobaki tukawekwa chini ya uangalizi wa Uingereza. Kwa ujumla sisi Waafrika sote ni ndugu. Ukuenda Nyasa unakuta Wanyasa na Malawi unawakuta, Makondonde yupo Tanzania hadi Msumbiji, Maasai wapo Kenya tena wengi kuliko waliopo Tanzania, Mjaluo hali kadhalika n.kSawa mkuu,
Kumbe tatizo kuu la kenya ni Ukabila.
Wakitoa huo basi wanaweza kujenga nchi yenye nguvu kuliko hii ya sasa.!
Maswali mengine mawili,
1. Tufanye nini ili kuweza kurudisha imani iliyovunjika baina ya mataifa haya ndugu ya Tanzania na Kenya ???
2. Nini mtazamo wako juu ya Ujio wa Rwanda na Burundi ndani ya Shirikisho la Afrika Mashariki ???
Kimsingi ni woga wa Watanzania. hamna Mwafrika bora kuliko mwenzake. Wakenya mimi niko nao kila saa huko boda ya Horohoro, kwanza huwezi kujua yupi Mtanzania na yupi Mkenya kwa wewe mgeni maana ni Wadigo hao hao waliopo Tanzania ndio wapo na upande wa pili, Wakamba wapo hadi Tanzania huku mpakani. Utakuta mwingi mjimoja yupo Tz na mwingine upo Kenya. ukisikia uchumi mkubwa wa Kenya unamilikiwa na mabepari wachache sana.Sasa huo ni utani ina maana wakenya ni bora sana kuliko sisi, au sudi bado tupo karne ya 17/8 au tusemaje! Binafsi sioni utofauti maana suoni uspecial wao ni watu wa kawaida tu, mi niliokutana nao nawaona wa kawaida tu! Ila wewe ndo unawaogopa inferiority complex in you buddy! Achaaa hizo wa bongo tupo vizuri wewe ni wewe tu ndo zero kwa wakenya
Tatizo ni kwamba wanataka kutuburuza kuingia kwenye shirikisho huku wakiangalia sana faida watakazopata wao tu. Tunajiuliza maswali kama huu undugu wa Afrika mbona watu kama Kagame hawauoneshi kule Mashariki mwa kongo ?? Au mbona Wahutu hawakuuonyesha Rwanda mwaka 1994 ??Burundi na Rwanda pia ni ndugu zetu. Tena wao ndo ndugu kabisa maana enzi ya Mjerumani (Tanganyika, Burundi na Rwanda)walikuwa nchi moja. Rwanda na Burundi zilikuwa miongoni mwa majimbo 20 ya German East Africa au Tanganyika. baada ya vita vya kwanza washindi waligawana makoloni ya mjerumani, Rwanda na Burundi akaongezewa Mbelgiji aliyekuwa anatawala Congo na sehemu ya Tanganyika iliyobaki tukawekwa chini ya uangalizi wa Uingereza. Kwa ujumla sisi Waafrika sote ni ndugu. Ukuenda Nyasa unakuta Wanyasa na Malawi unawakuta, Makondonde yupo Tanzania hadi Msumbiji, Maasai wapo Kenya tena wengi kuliko waliopo Tanzania, Mjaluo hali kadhalika n.k
jambo la muhimuni kuondoa hisia za ubinafsi kama waafrika ili kuweza kujenga muungano na taasisi imara dhidi ya waadui wa nje ya afrika.
Upo sahihi. matatizo mengine ni ya kihistoria. Mhutu ni Mbantu na ndiye mwenye asili ya Rwandwa na Burundi, Mtutsi siyo Mbantu na ni mhamiaji. Hivyo hao watu wana ugomvi wa Tangu enzi. Wangebaki ndani ya Tanganyika kama ilivyokuwa wakati wa Mjerumani wasingeuana. Kumbuka zile nchi zao ni ndogo sana hivyo ugomvi wao mkubwa ni ardhi na mili zilizopo pale kutoka population presure. Lakini ukweli unabki pale kwamba "Waafrika tunapaswa kupunguza tofauti zetu ili kwenda pamoja". Hata Wazungu siyo kabila moja wala mbari moja lakini wao wanabebana sana na hamna uhasama wa hovyo hovyo. na sisi tunatakiwa kufika huko ili kuwa bara moja lenye nguvu sana kiuchumi na kijeshi.Tatizo ni kwamba wanataka kutuburuza kuingia kwenye shirikisho huku wakiangalia sana faida watakazopata wao tu. Tunajiuliza maswali kama huu undugu wa Afrika mbona watu kama Kagame hawauoneshi kule Mashariki mwa kongo ?? Au mbona Wahutu hawakuuonyesha Rwanda mwaka 1994 ??
Tupo nje ya Muungano tunamshauri apatane na waasi wa Kihutu. Anaropoka hadharani “I will hit you”. Tunamwambia aondoke Burundi lakini yeye anatunisha misuli akitaka kupeleka Ukabila wake na kule na machafuko yanaendela na watu wanakufa. Sasa mtu mnampa ushauri halafu hataki always in a killing spree.
Unategemea tukiungana na watu wenye vurugu kama hawa huu muungano unaweza kufika kokote kule ?? Lazima wayamalize matatizo yao kwanza ndiyo watake muungano. Hakuna ardhi ya bure bure tu hapa Tanzania
Nakubaliana na wewe baadhi ya sehemu. Lakini nasema hivi hakuna tatizo lisilokuwa na suluhu ya kisiasa: Kwasababu Wahutu na Watutsi siyo wa kwanza kuwa na ugomvi hapa duniani.Upo sahihi. matatizo mengine ni ya kihistoria. Mhutu ni Mbantu na ndiye mwenye asili ya Rwandwa na Burundi, Mtutsi siyo Mbantu na ni mhamiaji. Hivyo hao watu wana ugomvi wa Tangu enzi. Wangebaki ndani ya Tanganyika kama ilivyokuwa wakati wa Mjerumani wasingeuana. Kumbuka zile nchi zao ni ndogo sana hivyo ugomvi wao mkubwa ni ardhi na mili zilizopo pale kutoka population presure. Lakini ukweli unabki pale kwamba "Waafrika tunapaswa kupunguza tofauti zetu ili kwenda pamoja". Hata Wazungu siyo kabila moja wala mbari moja lakini wao wanabebana sana na hamna uhasama wa hovyo hovyo. na sisi tunatakiwa kufika huko ili kuwa bara moja lenye nguvu sana kiuchumi na kijeshi.
Watanzania 100 sawa na mkenya mmoja ukizijumuisha fikra zao ccm wapo madarakani toka 1961 maisha bado kama tupo chini ya mjerumani.
Watanzania 100 sawa na mkenya mmoja ukizijumuisha fikra zao ccm wapo madarakani toka 1961 maisha bado kama tupo chini ya mjerumani.
Mimi sipendi sana mawazo ya kinyonge ya Watanzania kama wewe. Umekwisha ishi kenya wewe? Ninyi ndiyo ambao Nyerere mwaka 1965 aliwafukuza Chuo Kikuu kwa kusema "afadhali mkoloni." Hamia huko basi ujionee menyewe. Tupo chini ya Mjerumani?? Unawafahamu Wajerumani wewe? Hata wale wa leo? Usirudie kutoa kauli kama hiyo tena! Watanzania 100 sawa kama Mkenya mmoja? Kwa lipi? Mawazo kama hayo wanayafanyia kazi wageni na kuajiri raia wengi wa kigeni kwa sababu wanasoma hayo mnayoandika. Mnavyompinga raisi wenu wanasoma! Mnayokataa kujikomboa kiuchumi wanasoma! Wanachekaaah. Wanawaambia hamjui kuongea Kiswahili kama Wakenya. Mnakubali! Watu wanasoma wanawaita Wakenya kwenye fani za Kiswahili. Acheni mambo yenu hayo.
Mkuu una matatizo, itakuwa wewe ni chadema. Ndio huwaga mna mawazo kama hayo.Huo ni mtazamo wangu kuishi huko wewe hakunifanyi nishindwe kuona ni jinsi gan walivyotuacha kifikra kama mtu anaweza kuuupa promo mlima kilimanjaro upo kweke wewe ulie na huo mlima hata wanafunz wako hawaujui huoni kama ni tatizo?
Acha ujinga wewe shoga la mombasa.Watanzania 100 sawa na mkenya mmoja ukizijumuisha fikra zao ccm wapo madarakani toka 1961 maisha bado kama tupo chini ya mjerumani.
Acha ujinga wewe shoga la mombasa.
Aliyekwambia watanzania 100 sawa na mkenya 1 nani?
Mkuu una matatizo, itakuwa wewe ni chadema. Ndio huwaga mna mawazo kama hayo.
Ndio ni mtazamo wako, Tatizo umeanika upeo wako finyu kwenye public ndio maana umeandamwa hivyo, wakati mwingine jitahidi kuficha ujinga wako huko unakoishi.Huo ni mtazamo wangu kuishi huko wewe hakunifanyi nishindwe kuona ni jinsi gan walivyotuacha kifikra kama mtu anaweza kuuupa promo mlima kilimanjaro upo kweke wewe ulie na huo mlima hata wanafunz wako hawaujui huoni kama ni tatizo?
Uelewa wako upo very low, a reason huwezi kuelewa hata outcome ya ulichokiandika, hukustahili kuchangia chochote kwenye Jukwaa hili.Ngoja nkuache nisikutukane nikusamehe tu hata malezi yanachangia kuwaza unachokiwaza huenda wamekufanyia sna michezo michafu lipo ktk kumbukumbu zako
Huo ni mtazamo wangu kuishi huko wewe hakunifanyi nishindwe kuona ni jinsi gan walivyotuacha kifikra kama mtu anaweza kuuupa promo mlima kilimanjaro upo kweke wewe ulie na huo mlima hata wanafunz wako hawaujui huoni kama ni tatizo?
Eish ,wewe una uzushi na uvumi mtupu.Sisi wote Afrika mashariki,toka enzi hizo hadi leo ,bado tuko wamaskini kiujumla.Kikubwa mkuu ni ulafi na ubinafsi wa Mzee Jommo Kenyatta na watu wake waliomzunguka. Alijua Nyerere atakuwa kikwazo kikubwa cha yeye na watu wake kujilimbikizia mali kama alivyofanya, alijua Nyerere ni muungwana sana hapendi dhuluma wakati yeye alipanga kuwauwa wale wote ambao walionekana kutishia utawala wake, na kweli aliwamaliza, kuanzia wenzake aliopigana nao vita vya mao mao hadi wasomi akina Tom Mboya,
Pia kwa sababu waingereza waliijenga sana Kenya Kuliko Tanzania kwa wakati ule wakenya wengi hawakutaka kushirikishwa umasikini na Tanzania, si unaelewa siasa na uchumi wa kibepari ulivyo, ni maslahi tu ndiyo yanayochagua rafiki, sasa hivi ukiona Kenya wanataka sana kuungana ujue kuna maslahi kwao, si vinginevyo, kumbuka Kenya ni "man eat man society"
Je inakuwaje familia za viongozi wote wa Kenya baada ya Uhuru ni matajiri?Eish ,wewe una uzushi na uvumi mtupu.Sisi wote Afrika mashariki,toka enzi hizo hadi leo ,bado tuko wamaskini kiujumla.