Hivi kwanini Wakenya walikataa kuungana na Tanzania ??

Umeonge kiushabiki sana bila kuangalia mambo kitaalamu;
Mosi, tatizo kubwa na la pekee ndani ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni kuwepo na Mfumo Mbovu usioeleweka.
Haueleweki kama ni nchi moja au shirikisho. Hivyo kama tukiweza kumaliza hili Tatizo bila woga wowote ule basi nakuhakikishia hapa Afrika hakuna Muungano Imara na wenye faida kama ule wa Tanganyika na Zanzibar. Ulichokisikia wewe kule Zenji ni hisia tu ambazo zimejengwa zaidi na mihemko ya Kisiasa na kidini bila kuangalia uhalisi; ni sawa tu na kusema Tanzania kuna Baa la njaa, wengi waliamini na kuhisi kweli wanaumwa njaa kumbe hakuna kitu.

Pili, umesahau kwamba Tanganyika ilipendekeza kuwepo kwa Shirikisho (A Federal Republic) tofauti na Zanzibar ambako Karume alitaka kuwepo na nchi moja tu yenye iliyoungana katika kila kitu. Nadhani mfumo wa Shirikisho la Afrika Mashariki usingekuwa na Maneno mengi sana kwasababu tungeunganishwa tu kwenye mambo muhimu ya Shirikisho chini ya mwamvuli wa FEDERAL COMPACT. Kenya mngekuwa na yenu, vivyo hivyo Tanganyika, Zanzibar na Uganda wangekuwa na yao ya ndani kama nchi wanachama.

NB: Muhimi ni tufanye nini ili turudishe imani baina ya nchi hizi mbili ndugu ???

Sijaongea kiushabiki, ila nimegusia uhalisia wa mambo ambayo nimeyaona kwenu kaka, japo huwa mnayafumbia macho lakini yapo na hayaondoki kiulaini. Kwanza kabisa mchakato wa kupata katiba yenu mpya ulianguka baada ya kushindwa kupata suluhu kwa hili la muungano, mara serikali tatu, mara mbili mara hiki mara kile.

Watanganyika wengi wanataka wawe na rais wao kama ilivyo Zanzibar, halafu ndio pawe na rais wa muungano. Ukienda kule Zanzibar utakuta siku baada ya siku ni kama wanajitenga. Niliona sehemu sasa wameibuka na sheria kwamba lazima uwe mzawa wa Zanzibar ili uajiriwe sehemu yoyote kwenye serikali yao.

Hivyo kwa kifupi, muungano ni shughuli sana, kuudumisha inahitaji nguvu nyingi na pia hatungeweza kuungana kisa Nyerere na Kenyatta wamekubaliana, ilifaa iwe mchakato unaowahusisha watu wote wa nchi zote hizi na tuelewane tunaungana vipi. Hayo mambo ya watu wawili kukutana boardroom ndio yanawatatiza nyie, pale Nyerere na Karume walikaa na kukubaliana wao kwa wao na hayo makubaliano mlishagoma kuyaweka wazi.

Mimi naona kwa jinsi tunavyokwenda ndivyo inavyofaa, kwamba tunaungana taratibu kwenye baadhi ya vitu, yaani people driven union.
 
Wakenya wa enzi zile walikuwa ndani ya mfuko wa nchi za Ulaya ya Magharibi, wasinge weza kujiunga na Tanganyika iliyokuwa inafuata siasa za kijamaa. Kitu ambacho wanajuta hivi sasa maana wangeweza kupunguza matatizo yao ya kijamii kama ukabila.

Sijaongea kiushabiki, ila nimegusia uhalisia wa mambo ambayo nimeyaona kwenu kaka, japo huwa mnayafumbia macho lakini yapo na hayaondoki kiulaini. Kwanza kabisa mchakato wa kupata katiba yenu mpya ulianguka baada ya kushindwa kupata suluhu kwa hili la muungano, mara serikali tatu, mara mbili mara hiki mara kile.

Watanganyika wengi wanataka wawe na rais wao kama ilivyo Zanzibar, halafu ndio pawe na rais wa muungano. Ukienda kule Zanzibar utakuta siku baada ya siku ni kama wanajitenga. Niliona sehemu sasa wameibuka na sheria kwamba lazima uwe mzawa wa Zanzibar ili uajiriwe sehemu yoyote kwenye serikali yao.

Hivyo kwa kifupi, muungano ni shughuli sana, kuudumisha inahitaji nguvu nyingi na pia hatungeweza kuungana kisa Nyerere na Kenyatta wamekubaliana, ilifaa iwe mchakato unaowahusisha watu wote wa nchi zote hizi na tuelewane tunaungana vipi. Hayo mambo ya watu wawili kukutana boardroom ndio yanawatatiza nyie, pale Nyerere na Karume walikaa na kukubaliana wao kwa wao na hayo makubaliano mlishagoma kuyaweka wazi.

Mimi naona kwa jinsi tunavyokwenda ndivyo inavyofaa, kwamba tunaungana taratibu kwenye baadhi ya vitu, yaani people driven union.
Nimefurahi kidogo kwa jinsi ulivyofanya analysis yako, Ngoja nikuchekeshe, kuna rafiki yangu ni msomali anaishi Somalia, kuna siku nikamuuliza kwanini usivuke mpaka kwenda kuishi Kenya kama vijana wengine w kisomali wanavyoishi Kenya?, akanijibu kwamba hapendi kwa sababu Kenya kuna ukabila sana na insecurity, nikacheeka sana, kwamba leo msomali anaona Somalia ni nafuu kuliko Kenya. Wewe leo tena unanichekesha, kwamba Kenya ilivyo kwa sasa unaona ni bora kuliko malumbano yanayoendelea kati ya Zanzibar na Tanganyika[emoji1] [emoji1]

Hakuna muungani uliotulia duniani, unasikia huko Hispania, Ireland, Belgium hadi leo wana mabunge na serikali mbili, Ukrain, Marekani juzi kuna majimbo yanataka kujitenga, ndoa zetu kila siku zina mivutano, jibu sio kuvunja ndoa, au kuwaambia wengine wasioane
 
Sijaongea kiushabiki, ila nimegusia uhalisia wa mambo ambayo nimeyaona kwenu kaka, japo huwa mnayafumbia macho lakini yapo na hayaondoki kiulaini. Kwanza kabisa mchakato wa kupata katiba yenu mpya ulianguka baada ya kushindwa kupata suluhu kwa hili la muungano, mara serikali tatu, mara mbili mara hiki mara kile.

Watanganyika wengi wanataka wawe na rais wao kama ilivyo Zanzibar, halafu ndio pawe na rais wa muungano. Ukienda kule Zanzibar utakuta siku baada ya siku ni kama wanajitenga. Niliona sehemu sasa wameibuka na sheria kwamba lazima uwe mzawa wa Zanzibar ili uajiriwe sehemu yoyote kwenye serikali yao.

Hivyo kwa kifupi, muungano ni shughuli sana, kuudumisha inahitaji nguvu nyingi na pia hatungeweza kuungana kisa Nyerere na Kenyatta wamekubaliana, ilifaa iwe mchakato unaowahusisha watu wote wa nchi zote hizi na tuelewane tunaungana vipi. Hayo mambo ya watu wawili kukutana boardroom ndio yanawatatiza nyie, pale Nyerere na Karume walikaa na kukubaliana wao kwa wao na hayo makubaliano mlishagoma kuyaweka wazi.

Mimi naona kwa jinsi tunavyokwenda ndivyo inavyofaa, kwamba tunaungana taratibu kwenye baadhi ya vitu, yaani people driven union.
Wewe unafaham USA walivoungana, vita ilipigwa, watu waliokataa wakalazimishwa.
Unajua muungano wa Spain na Catalunya ulivotokea, do u know what's happening now there. Unafaham muungano wa UK ulivotokea, hadi leo kuna wanaotaka meguka, Russia je? Korea je? List is long, and you will see few unions made it, many are failing.

Ni viongozi wenye maono ndio hufanikisha haya, Nyerere saw these, unfortunately old Kenyatta failed to comprehend. Sema simlaumu sana, enzi hizo socialism na capitalism were at war and your masters who invested a lot in your country back in the time, would not allow him aungane na socialist.

Huu muungano wa Bara na visiwani unazo changamoto, hilo halina ubishi, kuna wabara hawautaki likewise kuna wavisiwani wasioutaka, na kuna wengi tunautaka, I'm assuring you, we will pass this changamoto and we'll be a union to look up to.
 
Watanzania 100 sawa na mkenya mmoja ukizijumuisha fikra zao ccm wapo madarakani toka 1961 maisha bado kama tupo chini ya mjerumani.

Wewe pumbavu, wewe ndio zero kabisa, ccm hawapo madarakani since 1961.
Shows how dumb and inferior you're. stfu
 
Kuhusu ujio wa Rwanda na Burundi, mimi ninaunga mkono sana, kwa sababu hizi nchi zina matatizo ya msingi, ni nchi ndogo sana ardhi haiwatoshi, pili zina ukabila sana, tukiungana nao watafaidika kama Zanzibar, japo watapoteza political power za viongozi wao, lakini zitakuwa na amani kwa sababu serikali ya Tanzania ndiyo itakuwa inachunga usalama wao kama Zanzibar, na wataweza kuja huku na kupata ardhi na kutumia fursa nyingi za uchumi zilizopo Tanzania.

Sidhani kama Rwanda na Burundi wanaweza wakapoteza nguvu kirahisi hivi ndani ya mfumo wa Shirikisho kama ilivyokuwa kwa Zanzibar. Kwasababu hata kama tutaungana basi Serikali ya Shirikisho itakuwa na nguvu kidogo na hasahasa ukinagalia tunaungana wakati Tanzania, Kenya, Burundi, Uganda na Rwanda zimeshakomaa sana kidiplomasia.

Hivyo hata kama kutakuwa na Serikali ya Shirikisho lakini ni lazima kila nchi mwanachama itabidi ibakize nguvu kubwa sana kwasababu kubebebesha matatizo yote ya hizi Serikali zaidi ya sita kwenye Serikali moja changa itasumbua sana. Hivyo ni lazima kutakuwa na muda wa mpito ambapo kila Serikali itaweza kuunganisha malengo yake na yale ya Shirikisho. Hapa nazungumzia vitu kama Madeni ya kila taifa, Mali za kila taifa na vyama vya Kisiasa. Hizi hatua zimezungumziwa kwa kina na Mikataba ya Kimataifa kama VIENNA CONVENTION ON SUCCESSION OF STATE IN RESPECT OF TREATIES, 1978 na VIENNA CONVENTION ON STATE SUCCESSION IN RESPECT OF STATE PROPERTY, ARCHIVES AND DEBTS, 1983.

Hivyo ni lazima utegemee kwamba nchi kama Tanzania na Kenya zenye Uchumi mkubwa japo bado watakuwa ni wanachama wa Shirikishio lakini bado watakuwa na uwezo wa kuendeleza mahusiano ya Kimataifa na Kidiplomasia na baadhi ya Makampuni, Mashirika ya Kimataifa na Nchi za nje. Kwasababu mpaka leo hii wamesaini mamia ya mikataba ya kimataifa na mataifa mbali mbali.

Hapa juu mfano halisi wa Shirikisho lilikoundwa wakati na nchi mbili zenye Ushawishi mkubwa kidiplomasia na kijeshi ni Shirikisho la Ujerumani; ambapo mpaka sasa hivi Katiba ya Ujerumani inaruhusu nchi mwanachama (Ujerumani Magharibi au Ujerumani Mashariki) kuingia kwenye Mahusiano ya Kidiplomasia na nchi yoyote ile duniani baada ya kuitaarifu Serikali ya Shirikisho. Hii nadhani ndiyo itakayo tokea kwenye Shirikisho la Afrika Mashariki.

Hivyo nguvu za Rwanda na Burundi kupungua haitawezekana kwasababu hata kijeshi bado zinajitegemea na zina nguvu mara tano kuliko Zanzibar ya Muhamed Shamte. Hivyo hawataingia kwenye Shirikisho kwasababu ya Ulinzi bali faida za kiuchumi tu. Kubwa zaidi kuhusu Rwanda na Burundi ni lazima tuangalie kwa mapana zaidi. Hawawezi kuingia kwenye huu muungano mpaka pale watakapoamua kumaliza matatizo yao kwanza.

Ukumbuke Serikali ya Tanzania imeweza kuchunga usalama wa Barani na Visiwani siyo kwasababu Zanzibar ni nchi dhaifu bali kwasababu Zanzibar ilikubali kutoa hayo madaraka yake ya kiulinzi kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano: Tungewaacha kwa hata miaka mitatu basi nina uhakika wangekuwa na jeshi lenye nguvu tu.

NB: Wanyarwanda na Warundi ni lazima wapambane na hali yao kwanza,
Waisitegemee kwamba kuungana na Tanzania au Uganda ndiyo kutawatatulia matatizo ya ardhi.
Sisi wenyewe hii ardhi haitutoshi kabisa hasa ukiangalia kwamba Tanzania itakapoanza kukua kiuchumi basi Watanzania tutatumia sehemu kubwa ya Ardhi katika kufanyia uzalishaji na kuendeshea viwanda. Pia usisahaiu kwamba Maendeleo ya kiuchumi hupelekea kukua kwa idadi ya watu wa eneo fulani.
 
Kumbe sababu ni:
1. Hofu ya Mwalimu Nyerere
2. Kulinda maslahi ya kikabila
3. Umasikini wa Tanzania

Sasa najiuliza maswali haya
1. Kwani sasa hivi Tanzania Umaskini umeisha ???
2. Kwani Kenye ukabila umeisha ???

Mbona wanang'ang'ania sana kuungana na Watanganyika na Wazanzibar ???
Unakumbuka kipindi cha Coalition of the Willing walitupa maneno kama The Laggard of East Africa mara Xenophobic.
Naumiza kichwa kutaka kujua kwanini muungano walioukataa Baba zao wenyewe wao wanataka kuulazimisha kwetu ???

..labda miaka hiyo ya 1960 wenzetu wa-Kenya walikuwa hawako tayari kuungana.

..sasa they went to the drawing board, executed a plan, na sasa miaka ya 2015 wamerudi wako tayari kuungana.

..katika miaka hii ya karibuni mambo yamebadilika. wa-Tz tumechukua position waliyokuwa nayo wa-Kenya miaka ya 60. hatutaki kabisa kusikia habari ya Federation of East Africa. Sasa tujiulize kwanini tulikuwa tayari kuungana in the 60s lakini sasa hivi hatuko tayari.

MK254
 
Sidhani kama Rwanda na Burundi wanaweza wakapoteza nguvu kirahisi hivi ndani ya mfumo wa Shirikisho kama ilivyokuwa kwa Zanzibar. Kwasababu hata kama tutaungana basi Serikali ya Shirikisho itakuwa na nguvu kidogo na hasahasa ukinagalia tunaungana wakati Tanzania, Kenya, Burundi, Uganda na Rwanda zimeshakomaa sana kidiplomasia.

Hivyo hata kama kutakuwa na Serikali ya Shirikisho lakini ni lazima kila nchi mwanachama itabidi ibakize nguvu kubwa sana kwasababu kubebebesha matatizo yote ya hizi Serikali zaidi ya sita kwenye Serikali moja changa itasumbua sana. Hivyo ni lazima kutakuwa na muda wa mpito ambapo kila Serikali itaweza kuunganisha malengo yake na yale ya Shirikisho. Hapa nazungumzia vitu kama Madeni ya kila taifa, Mali za kila taifa na vyama vya Kisiasa. Hizi hatua zimezungumziwa kwa kina na Mikataba ya Kimataifa kama VIENNA CONVENTION ON SUCCESSION OF STATE IN RESPECT OF TREATIES, 1978 na VIENNA CONVENTION ON STATE SUCCESSION IN RESPECT OF STATE PROPERTY, ARCHIVES AND DEBTS, 1983.

Hivyo ni lazima utegemee kwamba nchi kama Tanzania na Kenya zenye Uchumi mkubwa japo bado watakuwa ni wanachama wa Shirikishio lakini bado watakuwa na uwezo wa kuendeleza mahusiano ya Kimataifa na Kidiplomasia na baadhi ya Makampuni, Mashirika ya Kimataifa na Nchi za nje. Kwasababu mpaka leo hii wamesaini mamia ya mikataba ya kimataifa na mataifa mbali mbali.

Hapa juu mfano halisi wa Shirikisho lilikoundwa wakati na nchi mbili zenye Ushawishi mkubwa kidiplomasia na kijeshi ni Shirikisho la Ujerumani; ambapo mpaka sasa hivi Katiba ya Ujerumani inaruhusu nchi mwanachama (Ujerumani Magharibi au Ujerumani Mashariki) kuingia kwenye Mahusiano ya Kidiplomasia na nchi yoyote ile duniani baada ya kuitaarifu Serikali ya Shirikisho. Hii nadhani ndiyo itakayo tokea kwenye Shirikisho la Afrika Mashariki.

Hivyo nguvu za Rwanda na Burundi kupungua haitawezekana kwasababu hata kijeshi bado zinajitegemea na zina nguvu mara tano kuliko Zanzibar ya Muhamed Shamte. Hivyo hawataingia kwenye Shirikisho kwasababu ya Ulinzi bali faida za kiuchumi tu. Kubwa zaidi kuhusu Rwanda na Burundi ni lazima tuangalie kwa mapana zaidi. Hawawezi kuingia kwenye huu muungano mpaka pale watakapoamua kumaliza matatizo yao kwanza.

Ukumbuke Serikali ya Tanzania imeweza kuchunga usalama wa Barani na Visiwani siyo kwasababu Zanzibar ni nchi dhaifu bali kwasababu Zanzibar ilikubali kutoa hayo madaraka yake ya kiulinzi kwenye bunge la Jamhuri ya Muungano: Tungewaacha kwa hata miaka mitatu basi nina uhakika wangekuwa na jeshi lenye nguvu tu.

NB: Wanyarwanda na Warundi ni lazima wapambane na hali yao kwanza,
Waisitegemee kwamba kuungana na Tanzania au Uganda ndiyo kutawatatulia matatizo ya ardhi.
Sisi wenyewe hii ardhi haitutoshi kabisa hasa ukiangalia kwamba Tanzania itakapoanza kukua kiuchumi basi Watanzania tutatumia sehemu kubwa ya Ardhi katika kufanyia uzalishaji na kuendeshea viwanda. Pia usisahaiu kwamba Maendeleo ya kiuchumi hupelekea kukua kwa idadi ya watu wa eneo fulani.
Ninakubaliana na wewe kwa yote, ila ninataka kuzungumza kuhusu aina ya muungano ambao utawasaidia zaidi wa Rwanda na Burundi, sio ule wa kutaka kubakisha madaraka ya kisiasa, kwa sababu tatizo lao linaanzia hapo, kila kabila linataka kushika madaraka ya kisiasa na kijeshi, kww sababu hawaaminiani, wakitaka kubashika hilo, basi wajue muungano hautowasaidia, lazima wakubali kupoteza hiyo ili ukabila na tofauti zao ziwe absorbed ndani ya muungano, kama ilivyoungana Ujerumani mashariki na Magharibi.

Katika muungano lazima kuwe na kupoteza, hasa nchi kubwa lazima ikubali kuwa itapoteza zaidi upande wa uchumi, ila itanufaika zaidi upande wa siasa na kijamii, kwa hiyo tukiungana na wanyarwanda na warundi, wao watanufaika kiuchumi lakini kisiasa watapoteza kwa sababu kura zikipigwa siku zote nchi yenye watu wengi ndiyo itapitisha viongozi wao.

Ulisema wamalize matatizo yao ndiyo tuungane, hapana sio sawa, lengo kuu la kuungana ni kusaidiana ili kumaliza matatizo yetu kwa pamoja, tatizo kubwa la Rwanda na Burundi ni upungufu wa ardhi na ukabila, vyote hivyo haviwezi kumalizika bila kuungana, wataitoa wapi ardhi nyingine kabla ya kuungana?, watatoa wapi makabila mengine ya kuchanganyika nayo na kuzaana bila kuungana.
 
..labda miaka hiyo ya 1960 wenzetu wa-Kenya walikuwa hawako tayari kuungana.

..sasa they went to the drawing board, executed a plan, na sasa miaka ya 2015 wamerudi wako tayari kuungana.

..katika miaka hii ya karibuni mambo yamebadilika. wa-Tz tumechukua position waliyokuwa nayo wa-Kenya miaka ya 60. hatutaki kabisa kusikia habari ya Federation of East Africa. Sasa tujiulize kwanini tulikuwa tayari kuungana in the 60s lakini sasa hivi hatuko tayari.

MK254
Watanzania hawataki muungano na nchi ya Kenya kwasababu zinazoelezeka kirahisi tu kihistoria.

Mosi, Watanzania wanahisi kama Wakenya ni watu wasaliti sana ambao maisha yao yote ni maslahi mbele utu baadae. Mengine yalikuwa ni Propaganda za kisiasa lakini hapo pia kuna mengine ni ukweli mtupu. Mzee Nyerere alipotaka Shirikisho alilitaka tokea moyoni tena kwa nia njema na ya udugu na Wakenya tena akata na Mzee Kenyatta awe Raisi, hivi ni nani angeweza kufanya hivi barani Afrika ??? Wao kwasababu wazijuazo wakapinga kabisa kwasababu waliamink kwamba Kenya imeachiwa uchumi mzuri na Wazungu kuliko Tanganyika. Upande wa pili ni siasa za ukabila ambazo Mzee Kenyatta alizileta. Sisi tukawaacha kabisa lakini wao wanapendekeza tuungane kwasababu zao za kibinafsi na haoa wanaangalia kwanza watakachokipata wao bila wengine halafu wanajificha chini ya mwamvuli wa ushindani.

Pili, Watanzania wanahofu sana na kukosa kujiamini kwasababu ya mwelekeo wa kisiasa hapa nchini. Tanzania kuna kipindi ilitangaza ushindi dhidi ya Kenya karibia kwenye kila kitu. Kuanzia elimu, diplomasia,ulinzi na rasilimali. Lakini baada ya Ujamaa kuanguka na kushindwa kuongoza nchi rushwa ikaingia na nchi ikashikwa na kakundi kadogo hivyo kila kitu kikaharibika. Watanzania walichanganyikiwa sana baada ya kuona wao wako nyuma huku wakenya wakipiga hatua za haraka kimaendeleo. Wakati wao hata mwanachuo wa Mlimani wanaonekana hawana hata mwelekeo kitaaluma. Watanzania walikosa ujasiri na kujenga hofu zisizo na msingi wowote. Katika hili ni lazima tubadilike kwasababu tunaogopa kitu ambacho hakipo, Kenya huko kuna matatizo kama huku tu. Sema wazungu walitumia Kenya katika propaganda zao kuyaumiza mataifa ya Kijamaa ya Afrika na kuifanya Kenya ionekane kama mfano wa kuiga kumbe kuna mengine ni propaganda tu.

Tatu, siasa za ukombozi wa Afrika na vita baridi zimechangia sana Watanzania kuwa na chuki na Wakenya.
Wakati Tanzania inapigana vita ya ukombozi Afrika kote Wakenya wao wakawa upande wa mabepari, wakajitetea kwamba hawawezi kusaidia hizi jitihada kwasababu zilikuwa ni za kikomunisti lakini ukweli ni kwamba kuna mataifa mengi ya Kibepari hapa duniani yalisaidia sana ukombozi wa Afrika hata kama nchi ilikuwa na uhusiano na Uchina na Urusi. Kenya akawakumbatia Makaburu na Magaidi ya Renamo yaliowaua maelfu ya waafrika bila huruma. Chuki hizi bado ziko kwenye vitabu vya historia huku mashuleni na vyuoni hivyo ni ngumu kuifuta.

NB: Muhimu ni tunawezaje kuziba huu ufa wa chuki baina ya haya mataifa mawili ???
 
It a nothing personal but wa Kenya ni watu wa binafsi sana.

1. Kipindi cha uhuru Kenya ilikuwa imeendelea kiuchumi sana kuliko nchi zote za Afrika Mashariki na ilikuwepo tano bora ya nchi zilizondelea baran Afrika kutokana na settler economy(usi ni quote vibaya : walikuwa wameendelea but still walikuw ni maskini )

2. Wakenya waliona kwamba kuungana na nchi maskini kama Tanzania kungewafaidisha sana Watanzania.

3. Without any dought Nyerere is one of the wisest leaders to ever exist in Africa and the world at large and Kenyatta was just a fighter.

My take Watanzania tutafanya kosa kubwa sana kukubali muungano wa kisiasa na Kenya . Hawakukubali kugawana matatizo yetu kipindi cha Uhuru iweje leo tukubali kubeba matatizo yao.

..
 
Fikira hazikuenda IQ's, Birds of the same feathers fly's together. Birds of difference feathers never flies tigether.
 
It a nothing personal but wa Kenya ni watu wa binafsi sana.

1. Kipindi cha uhuru Kenya ilikuwa imeendelea kiuchumi sana kuliko nchi zote za Afrika Mashariki na ilikuwepo tano bora ya nchi zilizondelea baran Afrika kutokana na settler economy(usi ni quote vibaya : walikuwa wameendelea but still walikuw ni maskini )

2. Wakenya waliona kwamba kuungana na nchi maskini kama Tanzania kungewafaidisha sana Watanzania.

3. Without any dought Nyerere is one of the wisest leaders to ever exist in Africa and the world at large and Kenyatta was just a fighter.

My take Watanzania tutafanya kosa kubwa sana kukubali muungano wa kisiasa na Kenya . Hawakukubali kugawana matatizo yetu kipindi cha Uhuru iweje leo tukubali kubeba matatizo yao.

..
EAST AFRICAN FEDERATION is a superficial project. Nadhani itakuwa ni vyema sana kama tukibaki na ushirikiano wa kibiashara ambao umeuimarishwa lakini jambo la kuburutana hatulitaki.
 
Hii mada inaweza ikajadiliwa vizuri bila ushabiki na kulaumiana kijinga maana wengi wetu hatukua hata tumezaliwa wakati ule.
Lilikua wazo nzuri, lakini pia muungano ni very complicated, binafsi nimeona mnavyolumbana kwenye kamuungano kenu na Wazanzibari, hivi tungewezaje kumudu huu wa mibabe wawili.
Binafsi nimeishi Zanzibari na pia Tanzania bara, nimeshuhudia tofauti zenu na jinsi kuna wengi sana hawautaki huo muungano wenu, hivyo kwa maoni yangu naona tungeishia full vurugu.
Nitarudi baadaye na analysis iliyotulia, kwa sasa nipo kwemye mikimbio ya kusaka tonge.
Kwasasa tukiukubar muungano utatubana wakenya wana Elimu na wanajitambua.
 
Back
Top Bottom