Hivi kwanini wanafunzi wanakatazwa kuwa na simu shuleni? Tunajenga ama tunabomoa?

Hivi kwanini wanafunzi wanakatazwa kuwa na simu shuleni? Tunajenga ama tunabomoa?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Katika zama hizi za kidijitali, inakuwaje mwanafunzi anakatazwa kumiliki na kutumia simu shuleni?

Simu imebeba maarifa yote ya dunia, ambayo mwanafunzi anapaswa kujifunza na kuyafahamu, lkn anakatazwa.

Nini kinaogopwa, 0 kwa gharama ya kuwanyima wanafunzi kupata maarifa?
 
Ktk zama hizi za kidijitali, inakuwaje mwanafunzi anakatazwa kumiliki na kutumia simu shuleni?

Simu imebeba maarifa yote ya dunia, ambayo mwanafunzi anapaswa kujifunza na kuyafahamu, lkn anakatazwa.

Nini kinaogopwa,0 kwa gharama ya kuwanyima wanafunzi kupata maarifa?
Wasome simu za Nini?
 
Simu zipi na kila siku viwanda vinazalisha.

Muda wa kuwa shule wasome
 
Back
Top Bottom