Hivi kwanini wanaume tunapogundua huwa moyo unataka kuchomoka?

Sasa mbona na wewe unamkandia?? Au nasoma vibaya....hivi yule aliyeku-slap ni yupi?
 
Ila mwanaume anayepepeta sana ndio anayaweza???? naomba unijibu hili swali
 
Duh...! Hii kali...! Naomba dada zetu wajiweke wazi hapa, huenda kweli tunawanyima haki zao bila kufanya hivi...! Tafadhalini sana, I am very serious because I never did this, so I want to learn to avoid doing mistakes...!

Hizi tambo zote ni kuwa bado haujapata rungu size yako ukilipata na likatumika kwako ipasavyo likagonga sehemu zote mpaka likachakachua kale kaharage utakuwa unapiga simu na unakuja mwenyewe na gari yako
Basi kuna haja ya kupima viungo kabla ya kukutana, vinginevyo hadi upate size yako utakuwa umesha chakachua/chakachuliwa vya kutosha...!

Nature inaruhusu! Hakuna awezaye kubishana na kitu NATURE! Nature na iheshimiwe na watu wote!
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
 
Ila mwanaume anayepepeta sana ndio anayaweza???? naomba unijibu hili swali

Wewe ni he/she? Nani alikudanganya mwanaume anapepeta? Mwanaume anatwanga!
 
Ila mwanaume anayepepeta sana ndio anayaweza???? naomba unijibu hili swali

mwanaume huwa hapepeti maneno, bali anachojua ni kutwanga kote kote!
 
Hii twanga kote kote mnayozungumzia hapa ni ipi? hebu nifafanulie maana naona members wa infi wote mnaishabikia
 
Mpwa Finest, hebu msaidie huyu bidada!
 
Sasa mbona na wewe unamkandia?? Au nasoma vibaya....hivi yule aliyeku-slap ni yupi?

huyu ni haki zangu kabisa kumkandia coz na yeye alinikandia sana kipindi kile, sio! hili lilikuja baada ya alienitwanga.
 
kama umeyayuka kimpango wako lakini taarifa ndio hiyo.

sawa, kimpango wangu!lakini ni kweli kabisa huko nyuma nyamayao hukuwahi kucheza zile game bila jamaa kuvaa soksi, mmmmh!hata mara moja kweliiiiii?????Na wasiwasi
 
]Hii twanga kote kote mnayozungumzia hapa ni ipi?[/B] hebu nifafanulie maana naona members wa infi wote mnaishabikia

Ni PM maana maelezo ni marefu kidogo halafu baadae tunamalizia na PRAKTIKO baada ya hapo utaelewa tu
 
jamani sitaki kukubali kuwa mumeumbwa na roho mbaya isiyo na huruma kiasi hicho.:A S 13:
sio wote wapo wanaume wenye kuombea ex wao wafanikiwe bwana.
huyo ex atakua amekukosea nini kiasi cha kumuwish mabaya ya namna hii
mmh
 
Yamekuwa hayo tena, we nipe maelezo hapa hapa ili na wadogo zangu waelewe somo
 
Jamani kuna mtu kanionea queenkami huku? Tangu asubuhi namtafuta. Mkimwona mwambieni mbona hajibu PM yangu? Samahani kwa hii ofu topiki!
 
sawa, kimpango wangu!lakini ni kweli kabisa huko nyuma nyamayao hukuwahi kucheza zile game bila jamaa kuvaa soksi, mmmmh!hata mara moja kweliiiiii?????Na wasiwasi

wewe...kila mtu ana mcmamo wake kwenye lyf, na mie mcmamo wangu ulikuwa ni huo kuhusiana na mapenzi, hata mr pia ilikuwa hivyo mpaka tulipofikia muafaka, kupima/uchumba ndio kikaeleweka.
 
huyu ni haki zangu kabisa kumkandia coz na yeye alinikandia sana kipindi kile, sio! hili lilikuja baada ya alienitwanga.

Una kazoefu kakubwa....:grouphug:....
Ila ukweli hata wanawake hawapendi 'left overs' zichanue..
 
jamani sitaki kukubali kuwa mumeumbwa na roho mbaya isiyo na huruma kiasi hicho.:A S 13:
sio wote wapo wanaume wenye kuombea ex wao wafanikiwe bwana.
huyo ex atakua amekukosea nini kiasi cha kumuwish mabaya ya namna hii
mmh

Yaani bibie mi sio kwa ex wala nini. Huyu nilie nae kama yuko mbali na mimi nikasikia anaumwa nafurahi sana. Maana najua angalao hakuna anayegusa ha ha ha! Ni imani tu ila hakuna ushahidi wowote. Sasa ikija kwa ex nadhani sijui itakuwaje, automatic nitakuwa naomba apigike angalao kidogo anikumbuke kumbuke...
 
hapo umeniyeyusha nyamayao!!!!!

kama umeyayuka kimpango wako lakini taarifa ndio hiyo.

sawa, kimpango wangu!lakini ni kweli kabisa huko nyuma nyamayao hukuwahi kucheza zile game bila jamaa kuvaa soksi, mmmmh!hata mara moja kweliiiiii?????Na wasiwasi

wewe...kila mtu ana mcmamo wake kwenye lyf, na mie mcmamo wangu ulikuwa ni huo kuhusiana na mapenzi, hata mr pia ilikuwa hivyo mpaka tulipofikia muafaka, kupima/uchumba ndio kikaeleweka.

Nyie dada zangu mna ugomvi kati yenu?:hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…