Hivi kwanini wanaume tunapogundua huwa moyo unataka kuchomoka?


So jaribu kufikiria chanzo kabla ya kuchukua maamuzi ambayo yatakucost hapo baadae.


Kutoka Nje tabia tu Mwanajamii One, mapenzi yanahitaji mawasiliano bora kw pande zote. Ukikaa kimya na unaona kuna udhaifu ni kosa pia unakuwa umelifanya. Mweleze mwenzi wako na muyazungumze kupata suluhisho.Unadhani kutoka nje ni soln au kuzidi kuifanya situation kuwa worse zaidi? Kuachana siyo sululu na hata km mkiachana si lazima uliyeacha ndo ile kwako.
 


mnajifanya vidume nddo maana
 
sioni haja ya kuachana kwa shari na mbwembwe za kijinga!mlivyokua mnakula raha hamkuja kuna siku breakup itatokea?
Basicaly ukiwa na mtu ujue iko siku ya siku mtaachana unless mko kwenye ndoa ila hizi bf na gf any tym!:decision:
 
hiyo sasa ni roho mbaya!
 
Mwanajamii one,what do you say about this: You are married,mume kijana mwenzio,mzuri,mtanashati,kipato kizuri,matumizi yako na ya familia yako ie misiba,maradhi,school fees za wadogo zako etc anakutimizia,kitandani anakulamba kila unakotaka ukitaka na katerero poa tu unapata ,lakini wapi haitoshi siku ya siku anakubamba kona ukiwa na dereva wa kazini kwenu au foma boyfriend wako eti mankumbushia,utasemaje hapo? utetezi gani utatoa? au hujawahi kuyaona haya Mwanajamii 1?
 
hiyo sasa ni roho mbaya!

Bishanga,

Ila unakubali kwamba mwanamume akimwacha mke au GF anamwombea mabaya (bila kujali kwa kiwango gani) au?

Hayo ni maoni yangu na ni ukweli ambao nimeushuhudia kwa macho yangu mwenyewe ingawa siyo wish yangu!
 
Bishanga,

Ila unakubali kwamba mwanamume akimwacha mke au GF anamwombea mabaya (bila kujali kwa kiwango gani) au?

Hayo ni maoni yangu na ni ukweli ambao nimeushuhudia kwa macho yangu mwenyewe ingawa siyo wish yangu!

Mtu anapoacha au kutupa kitu chochote maana yake ameona hakifai!Kwa hiyo anagopa kuonekana alifanya uamuzi mbaya au wa kupuuzi...
Sio katika mahusiano tu....ukifukuzwa kazi (aliyekufukuza hapendi ufanikiwe), mwanafunzi akifukuzwa shule (mwalimu aliyemfukuza hatapendi kuona mafanikio ya huyo mwanafunzi), n.k.
You wont wish to be proved wrong...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…