Hivi kwanini wanaume tunapogundua huwa moyo unataka kuchomoka?

hehehehe!
jamani habarini za asubuhi!
unajua huku australia ndo kwaaanza kumekucha.....!

mi nina swali moja tu wakuuu!

KWA HIYO MUMEAMUAJE?....bacha ni she (kama ninavyomfahamu) au ni HE kama mnavyomfahamu ninyi?

nawasilisha!..nitarudi jamani:llama:

King kumekucha au jua ndio linazama?
 
Bahati mbaya mi huwa sichungulii...huwa natizama na mawani yangu?
hehehehe!miwani ya kipelelezi!
nasikia ma-bodigadi wa ''mkwere'' miwani yao ndo iko hivyo....ni kweli?
 
Ndiyo hiyo nimeinunua kwa ajili ya kuwaangalia MJ1, Nyamayao na bacha.
 
hpo nadhani kuna sheria zinakiukwa........!SHARING IS CARING!nadhani tugawane lensi za hiyo miwani
 
Unamaanisha hii:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy: koh koh koh koh :becky::becky:
 
hpo nadhani kuna sheria zinakiukwa........!SHARING IS CARING!nadhani tugawane lensi za hiyo miwani

Ewaaaa! Takamatana pale kaunta kusheherekea ushindi! Uchakachuaji wa jinsia hauruhusiwi!
 
hehehe!
unajua kuna wakina mama wengine kama bacha wanatamani kuwa wanaume....!:llama:
 
Hivi ukichakachua si hauwezi kupata 100%? Yaani kama ukichakachua petroli kwa kutumia mafuta ya taa....unachopata sio petroli wala mafuta ya taa......sasa anayechakachua jinsia anakuwaje? Au ndo shemale nazosikiaga....
 
Askofu inabidi atufanyie maombi tusikutane na hii kitu kwenye infii zetu
 
I feel JF like one big family kwa kweli lol............ With brothers and sisters (no room for ISC)
 
hehehe!
unajua kuna wakina mama wengine kama bacha wanatamani kuwa wanaume....!:llama:

habarini za muda waungwana!Unajua Teamo usije na usijaribu kubishana na uumbaji wa mwenyezi mungu!naona umependezwa na uchakachuaji wa jinsia kama ambavyo unavyoendelea kudadavuliwa hapa!acheni mungu aheshimiwe kwani kila alichokiumba alikibariki na kukitakasa!

Nawasilisha
 
wewe...wewe...haaa hebu jamani muweke muumba pembeni kwenye hili.
 
Back
Top Bottom