Namsemo wao haki sawa , ooh sijui tunadhadhalishwa wakati wenyewe ndo wanachangia wanawake sijui wakoje mm huwa nawaangaliaga tuu ila kweli hawapendani maana kuna siku alipanda mmama mjazito miezi km 8 hata kutembea alikuwa tabu kwa daladala siti za mbele zote walikuwa wanawake lkn hawaja msitiri mwenzao oooh wanawake na maendeleoo