1. Takwimu? Au unaongea tu braza?
2. Wanaume wanapendana eti?
3. Unasema hivyo kwa sababu wanawake ni wepesi kunyesha hisia zao. Ila wanaume hawako hivyo.
4. Kuchukiana kupo kila mahali...
Usiku mwema. Ukipata jibu utanieleza.
Kuna Tofaut Baina Ya Roho Mbaya Na Ukatili, Ujasiri Na Ushujaa, Woga Na Huruma, Wanawake Wengi Wanaroho Mbaya Ukilinganisha Na Wanaume, Rejea Maeneo Muhmu Kama Mtoto Wa Kambo, Ukewenza, Bosi Mwanamke Kwa Wanawake, Nesi/Dokta Kumzalisha Mjamzito,Barabarani Unaomba Kuingia Njia Kuu Na Mwanamke Ndo Dereva Nk.Nk Nahisi Ni Hulka Za Baadhi Za Watu Binafsi Na Ni 'nurture' Wala Si 'Nature' Ambapo Wanaweza Kubadlika Wakawa Na Huruma.
Namsemo wao haki sawa , ooh sijui tunadhadhalishwa wakati wenyewe ndo wanachangia wanawake sijui wakoje mm huwa nawaangaliaga tuu ila kweli hawapendani maana kuna siku alipanda mmama mjazito miezi km 8 hata kutembea alikuwa tabu kwa daladala siti za mbele zote walikuwa wanawake lkn hawaja msitiri mwenzao oooh wanawake na maendeleoo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.