Hivi kwanini wanawake hawawatafuti wanaume wenye bikra?

Hivi kwanini wanawake hawawatafuti wanaume wenye bikra?

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
just curious, habari zenu wadau!

nimejiuliza sana hili suala la muda mrefu! nimeona sasa ni bora nililete hapa tujadiliane!

imekuwa kama kasumba hivi kwa wanaume kulilia wanawake wenye bikra!! kila leo hawakosi mpaka wengine wanatangaza dau za mamilioni kununua bikra hizo!

sasa mi binafsi ninachojiuliza, kwanini wanawake wenyewe huwa hawatafuti vidume wenye bikra?

je, wanahisi utendaji kazi utakuwa chini ama vipi?

je, wanawake wanapokutana na wanaume wenye ubikra, hali huwa inakuaje?

ni hayo tu waungwana!
 
Ahya ngoja na wao waje waseme wenyewe kama wanapenda sealed
 
Hivi hata wakiamua kutafuta wanaume bikra watathibitisha vipi?!

Labda kutokana na mhusika kukosa uzoefu.....
 
Duh! na hasa utamjuaje mwanamme Bikra?manake mambo ya sikuizi cheni faki na dola feki....
 
Mwanaume bikra itakaa wapi? Au kwenye 0713...!
 
Bikra iliwekwa kwa wanawake na mnyazi Mungu kwa kusudio maalum.
 
Hawezi kujitokeza mtu anaulizia mwanamme bikra. Hata mabarubaru watajitokeza
 
Wakati wanawake wanataka mwanaume mwenye uzoefu kazini ili mradi asiwe na mke/watoto.
 
hii lugha mkuu tunaizungumza sana huku Bauchi.....kama unatokea Taraba....mpakani kabisa.......

Du..mkuu unazidi kuniweka gizani! Labda nikupe mji unieleze kwa lugha nyepesi..
 
Toka lini mwanaume akawa bikra mleta sred unaumwa ww sio bure
 
Back
Top Bottom