mm nahisi japo kuwa mwanaume bikira anakuwa na mapungufu yake lakin wakati mwengine anakuwa na mazur yake mengi sana.
kwasababu mm binafsi yameshawahi kunitokea, nimetolewa bikira na mdada fulan nikiwa na miaka 23,
kwa kweli mwanzo ilikuwa vichekesho, ila mwisho wa siku yule mdada alining'ang'ania alikaribia kuniuwa wakati naachana nae.
yeye alikuwa na umri km 35 ivi,
lakin kuna siku aliwahi kuniambia, ile siku ya mwanzo nilikuwa nataka kukukimbia ila kama nisingelikuwa mvumilivu nisingelipata raha kama hizi na nakuapia kwa mungu tangia niwe na fahamu mambo ya mapenz , sijawahi kuona utamu wa mapenz km ulionipa.
ni story ndefu sana, ila mwisho wa siku nahisi kuwa mwanaume bikira anaheshima yake km dada zetu watakuwa wavumilivu kwa siku mbili tatu.