Hivi kwanini wanawake hawawatafuti wanaume wenye bikra?

Hivi kwanini wanawake hawawatafuti wanaume wenye bikra?

Duu!
Sasa kama ni hivi na vile wanawake bikra wanasumbua hivyo kwenye that angle na huyu mwanaume bikra hajui ilipo...Hivi wakioana leo si wiki mbili baadae ndo watafanikiwa ku"consumate their marriage"?
Honey moon yote kazi inakuwa kutafuta kwanza ilipo na kudocument weather conditions za mahali hapo na further analysis of changes as distance betweet u approaches 0. Kuplot graphs and charts.
 
mwanaume bikra labda yule ambaye hawahi kukutana na mwanake yaani mashine yake haitawahi kutumia ndo bikra
 
Unafikiri kwa kipindi hichi utawapata wanaume wenye bikira suthubutuu labda katika 10 utaambulia 1 ambaye ndo kwanza katoka kubarehe majuzi halafu wewe ndo uwe wa kwanza kumbikiri
kwa nyakati hizi bestito ni vigumu kumpata mwanaume bikira wengi wao wameshapotoka na kuziondoa hizo ndude zao wewe acha tu best ni majanga tu kwao
just curious, habari zenu wadau!

Nimejiuliza sana hili suala la muda mrefu! Nimeona sasa ni bora nililete hapa tujadiliane!

Imekuwa kama kasumba hivi kwa wanaume kulilia wanawake wenye bikra!! Kila leo hawakosi mpaka wengine wanatangaza dau za mamilioni kununua bikra hizo!

Sasa mi binafsi ninachojiuliza, kwanini wanawake wenyewe huwa hawatafuti vidume wenye bikra?

Je, wanahisi utendaji kazi utakuwa chini ama vipi?

Je, wanawake wanapokutana na wanaume wenye ubikra, hali huwa inakuaje?

Ni hayo tu waungwana!
 
dah! dada utani mwingine si mzuri!

haya mambo bwana huwa ni automatic kabisa!

la sivyo mtu angepeleka kwenye tigo basi, kwanini akatafuta mbele?

we unafikiri adam na eva walijuaje central entrance ilipo! wote si walikuwa mabikra?

Am talking from the experience!!!!!
ilibidi tuahirishe sababu kakosa...
 
Vipi na mwanamke mwenye bikra akionjeshwa? Yeye anabaki ametulia tu?!

inategemea kaonjeshwa na nani, ana umri gani, na huyo jamaa ana umri gani, na kama walikuwa wamelewa au sober, na kipato cha jamaa. ila mie binafsi mwanaume bikra sitaki kabisa, huwa wanazibuka vibaya!
 
Daaaah kwaio nafa na bikra yangu hunitaki
 
just curious, habari zenu wadau!

nimejiuliza sana hili suala la muda mrefu! nimeona sasa ni bora nililete hapa tujadiliane!

imekuwa kama kasumba hivi kwa wanaume kulilia wanawake wenye bikra!! kila leo hawakosi mpaka wengine wanatangaza dau za mamilioni kununua bikra hizo!

sasa mi binafsi ninachojiuliza, kwanini wanawake wenyewe huwa hawatafuti vidume wenye bikra?

je, wanahisi utendaji kazi utakuwa chini ama vipi?

je, wanawake wanapokutana na wanaume wenye ubikra, hali huwa inakuaje?

ni hayo tu waungwana!
Ni ngumu sana kuthibitisha bikra ya mwanaume,pia inakubidi utambue mfumo tulioukuta umebase sana kwa mwanamke na si kwa mwanaume hiyo imepelekea wanawake kutojali hilo kama wanaume wanavyojali
 
Unafikiri kwa kipindi hichi utawapata wanaume wenye bikira suthubutuu labda katika 10 utaambulia 1 ambaye ndo kwanza katoka kubarehe majuzi halafu wewe ndo uwe wa kwanza kumbikiri
kwa nyakati hizi bestito ni vigumu kumpata mwanaume bikira wengi wao wameshapotoka na kuziondoa hizo ndude zao wewe acha tu best ni majanga tu kwao

hahahaaa!!! ulimwengu wa sasa ni zaidi ya sodoma!

enzi zile za mfalme suleiman.. mwanaume na mwanamke kwa pamoja walikuwa mabikra!

siku hizi nyie wanawake ndo mko mbele kututukana sie..
 
mmhh...! huu unyanyasaji wa kijinsia Husninyo! mtu experienced kama weweeee!!!??

si utamvunja misuli ya dushelele?

hahaha! Simvunji misuli, nataka asijutie kunizawadia bikra yake. Lol
 
Last edited by a moderator:
hahaha! Simvunji misuli, nataka asijutie kunizawadia bikra yake. Lol

sasa hapo utakuwa unampiga piga vile.. eeeh, na maneno kibao ya kumbebeleza aachie dushelele!

ila kuwa na bikra bana nako rahaaaa!!
 
Back
Top Bottom