Mmh kweli duhHapa JF kuna wale vibaka wanaopenda kusifia kila jambo hata kama ni baya.
Kuna hawa wanawake walikuwa maraisi yani matendo yao ni kama binadamu mmoja.
Waliua wanaharaksti,waliuza rasilimali,waliyumbisha nchi zao kimaendeleo.
Wanao waliishi utazani ndio wenye serikali.
Haw hapa.
aung san suu kyi
View attachment 3339522
sheikh hasina
View attachment 3339523
๐๐Wazee wetu hawakuwa wajinga kuwapiga pin wakae home kupigwa miti tu๐๐๐
Hata misamiati km
Dume suruali haikuwepo๐๐
WEEE unataka WAMTUNDU-LISU nini?Ungemwongeza tu na uliyekuwa unamuwaza,. Sio dhambi
Hapa JF kuna wale vibaka wanaopenda kusifia kila jambo hata kama ni baya.