Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wanapenda kutoka kimapenzi na watu wanaofanya kazi hizi?

Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wanapenda kutoka kimapenzi na watu wanaofanya kazi hizi?

Mimi ni mtu wa sales and marketing na huwa inanipa wakati mgumu kumuelezea mwanamke(hawa ambao ni zero brain waliojaa mitaani but ni pisi kali)

Kazi yangu inahusika na nini,na kwa nature ya kazi yangu naweza nikapitisha hata siku tatu nisiingie job as order zinakua zinaflow zenyewe tu kwa kupitia simu hivyo baadhi ya wanawake naokua nao huwa wanahisi sina ramani hivyo kunikimbia sometimes,but kiukweli nawaambia katika kampuni yoyote ile hakuna watu wana maisha mazuri na huwa hatufulii kama sisi watu sales and marketing department.

So baada ya kuona wanawake design flani hawanielewi kisa hawajui michongo ninayopiga nikaamua kufanya kautafiti kasiko rasmi

Nikagundua kuwa most of mademu mjini wanapenda kutoka na watu wenye title hizi,but hao watu hawana pesa kiukweli ila wana mbwembwe nyingi tu.

Madem wengi wanavutiwa na hizi titles
1.Wahasibu
2.Bankers
3.Auditors
4.Doctors
5.Pilots
6.Engineers ingawa sio sana coz most of them wanaonekana hard-cores.
7.Wanajeshi
8.Advocates

Ndugu yangu ukitongoza mwanamke useme wewe sijui ni mtu wa sales au sijui afisa kilimo lazima ule za mbavu.
Engineers wengi wana pesa, especially wale ambao ni consultants
 
Back
Top Bottom