Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wanapenda kutoka kimapenzi na watu wanaofanya kazi hizi?

Umesahau afisa usafirishaji
 
Mafanikio yako yanatakiwa kujieleza kwa niaba yako.
We fanya kazi yoyote ile as long mafanikio yako yanaonekana hata ukikata viuno kama mwanumuziki diamondi utaonekana unafanya kazi ya maana sana.
 
Wauza chips
Wauza maduka
Wauza nyama
Bodaboda/wenye chombo Cha moto hata kama ni deiwaka wa bajaji au Dereva wa Serikali πŸ˜†πŸ˜†


Shid kazi ya kuzunguka zunguka manake wewe ni kidampa nani atoke na wewe? πŸ˜†πŸ˜†
 
Nimecheka sana hapo kwenye zero brain 😁😁
 
Wana hela, na Mapenzi siku hizi ni pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…