Hivi kwanini wanawake wakiwa wanacheza mziki lazima wachezeshe makalio yao?

Hivi kwanini wanawake wakiwa wanacheza mziki lazima wachezeshe makalio yao?

Ngoja kwanza nmaliza kula msosi anaonipikia mke wng hapa, alafu nitarudi kuchangia mada
1480093858840.jpg
 
Wamachezesha kivutio chao watazamwe
 
Ni utamaduni tu wa waafrika. Nyie si mnapenda hayo makalio? Ko wanawaburudisha
 
Back
Top Bottom