Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,461
- 2,158
Mwanamke mtaji wake ni makelio na silaha yake ya maangamizi ni mdomo mkuu...Wakuu hii kitu inanishangaza sana hivi ni kwanini wanawake wakiwa wanacheza mziki lazima wainame iname kwani style nyingine hamna ?
Huwa nashangaa sana ,hivi hii inasababishwa na nini?