Je ulifurahia au la?Msukuma niliyempenda mimi alikuwa hivi!
1:mwili ulipanda (kujaa)
2:hajui kuficha hisia zake kwangu na mbele za watu
3:nilipata kila nilichohitaji
4:alikuwa jasiri
5:mkarimu kwa ndugu zangu sometimes too mkarimu
6:wivu mpaka basi
8:kitombi (ingawa it took time kugundua coz mapenzi yalikuwa yanazidi while he was cheating)
sasa unauliza jibu ginenhe ngosha ulimh'ala nene nalihoJe ulifurahia au la?
Ni wazi humzungumzii huyu Msukuma chapa ya ng'ombe originale moja kwa moja toka Ikungulyabashashi Ntuzuland!
Msukuma niliyempenda mimi alikuwa hivi!
1:mwili ulipanda (kujaa)
2:hajui kuficha hisia zake kwangu na mbele za watu
3:nilipata kila nilichohitaji
4:alikuwa jasiri
5:mkarimu kwa ndugu zangu sometimes too mkarimu
6:wivu mpaka basi
8:kitombi (ingawa it took time kugundua coz mapenzi yalikuwa yanazidi while he was cheating)
Wasukuma watamu. Lol.
hao wanawake uliokutana nao wewe ni wa wapi....?
ninavyojua mimi.....wanawake wengi tunapenda wanaume wa kisandawe.......
Oh yeah....pande za Kizumbi, Nhelegani, Bunamhala, Ng'wamapalala, Dutwa, Gamboshi.....Yaani huko ni kunywa mabhele na kula michembe tu! Raha sana kwa kweli!
sina hakika na ulicho wasilisha.ila ninachofaham cc akina nyumba hii mbomba hii 2nababaikiwa sana na totoz za kitanga/chaga/nyamwezi nk.😛oaNimekutana na wanawake wengi, na wanasema wanapenda sana wanaume wa kisukuma sijajua kwann wanapenda?
Nimekutana na wanawake wengi, na wanasema wanapenda sana wanaume wa kisukuma sijajua kwann wanapenda?
huwezi kusema wanawapenda kwa maana ya kuwa wana fall in love
wanawapenda kwa maana ya ku prefer.....hata kama sio love inahusika..
wasukuma ni wapole,wanapenda sifa ya matumizi
ni rahisi kudanganywa.....
ni every woman's dream kupata watu wa aina hiyo
hasa kama ni wanawake wanaopenda 'kumuweka mwanaume kiganjani'.....
gurudumu la maendeleo lilikwama, hata kwa grisi halitalainika...lol!!!
Wasukuma wanajitambua, kwa hiyo kama una nia ya kuwadanganya, heri tu uendelee kuweka juhudi kwa huyo 'chauongo' wako kuna siku utamuweza...lol!!!
Wanaume wa kisukumu ni yes-men! Hawakatai chochote kutoka kwa wapenzi wao. Chochote anachokisema mwanamke ni lazima atakifanya. Kwa lugha nyingine ni kwamba, hawana msimamo. That's all what women want!!
kama unadhani wanaume wa kisukuma tupo hivo basi utakuwa unafanya kosa kubwa sana, maana mwanaume yeyote wa kisukuma anamsimamo wa kisukuma tena ule wa ukweli.
hutakuta hata siku moja dume la kisukuma lina fanya kazi za jikoni kama lilivyo kabila fulani hapa nchini. wasukuma ni ngangali bwana......!!
pia Idisa,lugulu,kisesa,ng'koma,ng'wandu ni ful masangu na nyama ya ngoko.
Nahehe!!
Kweli huna msukuma