Hivi kwanini wanawake wengi wanapenda Wasukuma?

Hivi kwanini wanawake wengi wanapenda Wasukuma?

Msukuma niliyempenda mimi alikuwa hivi!
1:mwili ulipanda (kujaa)
2:hajui kuficha hisia zake kwangu na mbele za watu
3:nilipata kila nilichohitaji
4:alikuwa jasiri
5:mkarimu kwa ndugu zangu sometimes too mkarimu
6:wivu mpaka basi
8:kitombi (ingawa it took time kugundua coz mapenzi yalikuwa yanazidi while he was cheating)
 
Je ulifurahia au la?
 
kuna mtu amenionea dada nyamayao humu?
Anijuze tafadhali.

Eti wasukuma si ndo wanatokaga Kasulu eh!? teh teh teh
 
  • Thanks
Reactions: bht
Msukuma niliyempenda mimi alikuwa hivi!
1:mwili ulipanda (kujaa)
2:hajui kuficha hisia zake kwangu na mbele za watu
3:nilipata kila nilichohitaji
4:alikuwa jasiri
5:mkarimu kwa ndugu zangu sometimes too mkarimu
6:wivu mpaka basi
8:kitombi (ingawa it took time kugundua coz mapenzi yalikuwa yanazidi while he was cheating)

Ahahah Kaunga hio namba nane in red ndo inamaanisha mlafi au mroho si ndio?! dah watu mna misamiati!!
 
Midume ya kisukuma usipime..
Kwanza inajiamini..alafu mioyo mweupeeee...iko smart sana kichwani hadi muonekano....inajua kupenda tena kupenda haswa..kucare ndio usiseme hadi utachukia mwenyewe...yani nduhu tabu!
 
Oh yeah....pande za Kizumbi, Nhelegani, Bunamhala, Ng'wamapalala, Dutwa, Gamboshi.....Yaani huko ni kunywa mabhele na kula michembe tu! Raha sana kwa kweli!

pia Idisa,lugulu,kisesa,ng'koma,ng'wandu ni ful masangu na nyama ya ngoko.
 
Nimekutana na wanawake wengi, na wanasema wanapenda sana wanaume wa kisukuma sijajua kwann wanapenda?
sina hakika na ulicho wasilisha.ila ninachofaham cc akina nyumba hii mbomba hii 2nababaikiwa sana na totoz za kitanga/chaga/nyamwezi nk.😛oa
 
huwezi kusema wanawapenda kwa maana ya kuwa wana fall in love

wanawapenda kwa maana ya ku prefer.....hata kama sio love inahusika..

wasukuma ni wapole,wanapenda sifa ya matumizi
ni rahisi kudanganywa.....

ni every woman's dream kupata watu wa aina hiyo

hasa kama ni wanawake wanaopenda 'kumuweka mwanaume kiganjani'.....

kama unadhani wanaume wa kisukuma tupo hivo basi utakuwa unafanya kosa kubwa sana, maana mwanaume yeyote wa kisukuma anamsimamo wa kisukuma tena ule wa ukweli.

hutakuta hata siku moja dume la kisukuma lina fanya kazi za jikoni kama lilivyo kabila fulani hapa nchini. wasukuma ni ngangali bwana......!!
 
gurudumu la maendeleo lilikwama, hata kwa grisi halitalainika...lol!!!
Wasukuma wanajitambua, kwa hiyo kama una nia ya kuwadanganya, heri tu uendelee kuweka juhudi kwa huyo 'chauongo' wako kuna siku utamuweza...lol!!!

oowkey afadhali umenitoa matongotongo maana ilibaki kidogo nimpige chini maasai nikimbilie msukuma kumbe ningeingia choo cha kiume (pata picha mwanamke ndani ya choo cha kiume kile cha kukojolea!!! sijui napiga sarakasi ipi nikifikie!
 
Wanaume wa kisukumu ni yes-men! Hawakatai chochote kutoka kwa wapenzi wao. Chochote anachokisema mwanamke ni lazima atakifanya. Kwa lugha nyingine ni kwamba, hawana msimamo. That's all what women want!!

Mkuu hujafanya research yako kikamilifu! Jaribu tena.
 
kama unadhani wanaume wa kisukuma tupo hivo basi utakuwa unafanya kosa kubwa sana, maana mwanaume yeyote wa kisukuma anamsimamo wa kisukuma tena ule wa ukweli.

hutakuta hata siku moja dume la kisukuma lina fanya kazi za jikoni kama lilivyo kabila fulani hapa nchini. wasukuma ni ngangali bwana......!!

Now, you are talking!
 
pia Idisa,lugulu,kisesa,ng'koma,ng'wandu ni ful masangu na nyama ya ngoko.

pia, pande za Somanda, Lugulu, Nkololo, Ishinabulandi, na Imalaseko, Buhangija, Ngokolo, Ndala na Kagongwa,Raha sana mkuu.
 
Back
Top Bottom