Nimechoka. . . .
Ila ngoja nijitahidi, nikikosea herufi naomba nisirekebishwe.
Ni wanaume ambao muda wote wanafokafoka/wanakua wakali, kutabasamu ama kuongea kwa utaratibu na upole kwa mwiko. Kuwasikiliza wenzi wao ndio kabisa hairuhusiwi, hata kama wanachosema/shauri kina mantiki kuliko alichokua anafikiria yeye. Wanaona maisha yanayoendeshwa kwa MAKUBALIANO badala ya AMRI unaondoa uanaume.
Sasa niwaambie. . . kama huamini kwamba uanaume wako ni zaidi ya kuwa mwelewa na mtu anaejali mawazo na mahitaji ya wengine basi wewe sio mwanaume. Na hao Wasukuma mnaowaponda ndio wanaume na ndio maana hata dada zenu na wapenzi wanawafagilia.