Hivi kwanini wanawake wengi wanapenda Wasukuma?

Tunakoelekea tutaanza kuandamwa kama wadada wa Kichaga wanavyoandamwa humu kila siku.

Nitajie Wasukuma wanaopenda sifa ya matumizi na walio warahisi kudanganywa.

Mkuki kwa nguruwe. . . mtakoma!!CV ndo zinapakwa matope hivyo.
 
hao wanawake uliokutana nao wewe ni wa wapi....?
ninavyojua mimi.....wanawake wengi tunapenda wanaume wa kisandawe.......

kumbe ndio maana wanawake wananin'gan'gania kila kukicha
 
Tusipoangalia haya mabo ya kikabila yataturudisha enzi zileeee.
 
hao wanawake uliokutana nao wewe ni wa wapi....?
ninavyojua mimi.....wanawake wengi tunapenda wanaume wa kisandawe.......

Preta Preta Preta! Hiyo yako kali! Lol!
 
Tatizo watu wengine mmezoa kwamba mwanaume kua na uso wa mbuzi ndio uanaume. Fungua akili, ruhusu elimu, pokea mabadiliko, kubali ukweli.

Uso wa mbuzi ndio nini,....hebu funguka hapo_ili tuipate elimu kisawa sawa.
 
Uso wa mbuzi ndio nini,....hebu funguka hapo_ili tuipate elimu kisawa sawa.

Nimechoka. . . .
Ila ngoja nijitahidi, nikikosea herufi naomba nisirekebishwe.

Ni wanaume ambao muda wote wanafokafoka/wanakua wakali, kutabasamu ama kuongea kwa utaratibu na upole kwa mwiko. Kuwasikiliza wenzi wao ndio kabisa hairuhusiwi, hata kama wanachosema/shauri kina mantiki kuliko alichokua anafikiria yeye. Wanaona maisha yanayoendeshwa kwa MAKUBALIANO badala ya AMRI unaondoa uanaume.

Sasa niwaambie. . . kama huamini kwamba uanaume wako ni zaidi ya kuwa mwelewa na mtu anaejali mawazo na mahitaji ya wengine basi wewe sio mwanaume. Na hao Wasukuma mnaowaponda ndio wanaume na ndio maana hata dada zenu na wapenzi wanawafagilia.
 
Nimekutana na wanawake wengi, na wanasema wanapenda sana wanaume wa kisukuma sijajua kwann wanapenda?
ukiwa na mwanaume wa kisukuma ombea kipato chake kisiongezeke maana wanapenda sana kufungua zipu kuholele
 

Mwanaume wako Msukuma?
 
mimi ukitaka kunimaliza weka mwanaume wa kichaga,msukuma,mgita na mkurya hao viumbe bwana mi kwishney kabisa, kwanza sura zao tu ni za kiume.loh
 
dah!mimi mbona sijawahi kukutana hata na mmoja?kwani wanawake wanahitaji kabila au sifa?
 
Waeleze waellewe jinsi gani mnavyo wafill.
Maana wanaoponda wengi ni wanaume wanawivu nini?
 
Wanaume wa kisukumu ni yes-men! Hawakatai chochote kutoka kwa wapenzi wao. Chochote anachokisema mwanamke ni lazima atakifanya. Kwa lugha nyingine ni kwamba, hawana msimamo. That's all what women want!!

Acha kututukana wewe! kama wako ni yes-man, ni huyo huyo ebo!
 


Sawa_ila hapo kwenye blue sio sawa bhana,........unawafagilia wasukuma,..ahahahahahaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…