Hivi kwanini wanawake wengi wanapenda Wasukuma?

hao wanawake uliokutana nao wewe ni wa wapi....?
ninavyojua mimi.....wanawake wengi tunapenda wanaume wa kisandawe.......

Aiseeee... hivi inaruhusiwa kubadili kabila eeeh?:A S-coffee:
 
Hao ni chagulagaa ndo mana wanapendwa.
 
[/COLOR]
Sawa_ila hapo kwenye blue sio sawa bhana,........unawafagilia wasukuma,..ahahahahahaaaaaaaaaaaaaa

Sio sawa kwa vigezo vipi?
Nafagilia wale wote wanaopondwa maana kuna kitu watu wanakitamani toka kwao kwasababu wenyewe hawana wala hawawezi kukipata.
 
Sio sawa kwa vigezo vipi?
Nafagilia wale wote wanaopondwa maana kuna kitu watu wanakitamani toka kwao kwasababu wenyewe hawana wala hawawezi kukipata.
Sio sawa kwa vigezo vyote,....kama unawaonea huruma kwa vile wanavyopondwa na wameshindwa kujitetea hilo safi,....lakn mbona namuona mkuu Nyani Ng....anapambana humu,....nahisi ww ni dada yao bila shaka
 
Unajua wanaume wengi hawafundishwi jinsi ya kuwahandle wanawake. Lakini kwa wasukuma unajuzwa na wazee. Nadhani ndio maana wanaume wa kisukuma wanawapagawisha wanawake. Wewe unayesema hakuna kitu umewahi kuvituzi na Jidume cha Kisukuma?

Waache bwana hawa watu Wanajua mambo.
 
Sio sawa kwa vigezo vyote,....kama unawaonea huruma kwa vile wanavyopondwa na wameshindwa kujitetea hilo safi,....lakn mbona namuona mkuu Nyani Ng....anapambana humu,....nahisi ww ni dada yao bila shaka

Niwaonee huruma kwani wana ulemavu?
 
Naunga mkono hoja. Wanaume wa kisukuma wapo juu kama dege la Obama! Lol.
:juggle:

Nimekutana na wanawake wengi, na wanasema wanapenda sana wanaume wa kisukuma sijajua kwann wanapenda?
 
Reactions: bht

Ni nini siku hizi mkuu? Why all this generalisation aisee??
 
Dadavua mada mkuu mmekutana nao wapi? na wanawapenda kivipi, inawezekana wanawapenda kwasababu ni wafanyakazi wazuri, so dont jump 2 conclusion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…