Nimekutana na wanawake wengi, na wanasema wanapenda sana wanaume wa kisukuma sijajua kwann wanapenda?
ehe ulishawahi kuwa na msukuma?
pamoja na kuwa nimepanga suraali nyingi sana kama umri wangu lakini sijawahi kuwa na msukuma! nahisi kama wanatumia maguvu hata kwenye mapenzi???!!!! maana ile ongea yao tu ndio vile anakaza misuli sasa sijui akitaka kukupiga denda huku kapandisha munkari inakuaje:embarassed2::embarassed2:
Ni wazi humzungumzii huyu Msukuma chapa ya ng'ombe originale moja kwa moja toka Ikungulyabashashi Ntuzuland!
i hope haongelei Ngosha o bhagosha kutoka hukooooooooooooooooooooooooooooooooooo karibu na Nyamatembe
Sasa jaribu kukosea njia uingie kwa wasukuma matatizo yako yote yataisha. Hawa tumii miguvu kihivyo ila wanajua chumba kulikofichwa utamu. achaweepamoja na kuwa nimepanga suraali nyingi sana kama umri wangu lakini sijawahi kuwa na msukuma! nahisi kama wanatumia maguvu hata kwenye mapenzi???!!!! maana ile ongea yao tu ndio vile anakaza misuli sasa sijui akitaka kukupiga denda huku kapandisha munkari inakuaje:embarassed2::embarassed2:
Sema mama sema! Msalimie shemeji langu.mwenye sifa zote za kuitwa MWANAUME....
Lol... Swahiba unamwaga mchele!Wasukuma watamu. Lol.
lol...muhanga jamani!!! heri ya mwaka mpya, sijakusoma kitambo kweli!! huweshi vituko wewe!!
bora tu umejisemea unahisi...
Sema mama sema! Msalimie shemeji langu.
Ukipitia Bulima, busumabu, mpaka huku maeneo ya tinde. Yeeee ngosha.
pamoja na kuwa nimepanga suraali nyingi sana kama umri wangu lakini sijawahi kuwa na msukuma! nahisi kama wanatumia maguvu hata kwenye mapenzi???!!!! maana ile ongea yao tu ndio vile anakaza misuli sasa sijui akitaka kukupiga denda huku kapandisha munkari inakuaje:embarassed2::embarassed2:
Ukipitia Bulima, busumabu, mpaka huku maeneo ya tinde. Yeeee ngosha.
loh my dear mwaka mpya umeanza salama, sijaingia kupiga umbea wa vidole muda mrefu maana nilikuwa bize sana na ujenzi wa taifa, tunasukuma gurudumu la maendeleo ingawa zito kweli hata halisukumiki. ukweli nahisi tu hukusu wasukuma siwahi kupata ila kwa sasa nakaribisha wenye interest na mimi ili angalau nionje huko kuwadanganya kirahisi kama alivyosema the boss, maana huyu nilienae hata hadanganyiki loh!n yeye mwenyewe muongo kupindukia!:A S embarassed:
Sina la kunipeleka mwenzangu, nasubiri siku ukienda ukweni unipe mwaliko ndugu yako....ndo nshasema tena, nasubiri mtu aoshe kinywa hapa juu ya wasukuma aone...lol!!
halafu nimeona umesema eti hujawahi kufika Ikungu, sasa unalo la kukupeleka huko?