Hivi kwanini wanawake wengi wanapenda Wasukuma?

wanamme wa kisukuma
ni wanamme hawa, tena wanamme wa shoka kabisa

kwanza wanafanya kazi

wazuri kwa umbo, kimo, sura(the Giants)

wana maamuzi ya kiume

hawasikilizi umbea, ni uso kwa uso

what you see is what you get

huwa hawabishani na wanawake, lakini wanafanya maamuzi yao independent
I love sukuman men with all my being.
 
Unataka awe na mwanamke mmoja umekuwa mama yake.
Mama pekee ndo mmoja, wengine wote ruksa kuwa wengi

na uzuri hawafanyi kwa siri na polygamy is allowed

wala si sababu ya hela, ni raha tu nayo
wake 3, watoto 17
kuna raha kama hiyo?

ukiwa na mwanaume wa kisukuma ombea kipato chake kisiongezeke maana wanapenda sana kufungua zipu kuholele
 
Nakukaribisha sana usukumani
utainjoy
wanamme huku hawabishani na wanawake
Kwa raha zako

mimi ukitaka kunimaliza weka mwanaume wa kichaga,msukuma,mgita na mkurya hao viumbe bwana mi kwishney kabisa, kwanza sura zao tu ni za kiume.loh
 
Wengi wana mikurupio ya punda yaani hd inch 11!
 
Mimi niliyesoma nae tulikuwa o' level, sikumbuki alisoma wapi A' level.
Kama na O' level ulisoma Moshi Tech. Basi unaweza kuwa ndiye.
Ha ha ha, ulisoma enzi za Malale?

Nakumbuka sana pale na mambo ya mijara, ulinzi wa usiku mle ndani ilikuwa ni wakurya, anakukumbiza lakini akikufikia karibu anataka uongeze mwendo ili akupige mtama sehemu nzuri.
 
Unafanya kazi gani! Sorry kwa swali hili
usije kuwa mkimbiza mwenge!!!
Naona unataja kimberlite pipes na greenstone zenye gold tu

Njoo sasa mwadui, maganzo, mwakitolyo yee ng`ana duhu
 
wanafanya maamuzi magumu
na huwa hawayaruki maamuzi yao
anasimamia alichoamua to the last point
hata kama watu 1000, mumpinge, labda muwe na hoja
si porojo

Ila kuomba msamaha ni ngumu kidogo

jaribu hata kuangalia viongozi wanaotka huko tabia zao
wanaume wakisukuma hawana maamuzi magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…