Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Unataka kutuambia na JK ni msukuma?
Mura sasa naona unamtafuta ubaya JK.
Kwani kwenye malavidavi nako kunahitajika maamuzi magumu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kutuambia na JK ni msukuma?
Nimekutana na wanawake wengi, na wanasema wanapenda sana wanaume wa kisukuma sijajua kwann wanapenda?
Mbona umeiruka Buhangija?.Oh yeah....pande za Kizumbi, Nhelegani, Bunamhala, Ng'wamapalala, Dutwa, Gamboshi.....Yaani huko ni kunywa mabhele na kula michembe tu! Raha sana kwa kweli!
ila wana wivu hao mmh, utamuweka kiganjani lkn utakoma anakufuatilia weeee mmh.
Mbona umeiruka Buhangija?.
Wanapendwa sana !Wakurya je hawapendwi???
Hapo ndo kila kitu aisee ....mimi ukitaka kunimaliza weka mwanaume wa kichaga,msukuma,mgita na mkurya hao viumbe bwana mi kwishney kabisa, kwanza sura zao tu ni za kiume.loh
Acheni hizo nyinyi. Wasukuma si mabwege hivyo.
ukiwa na mwanaume wa kisukuma ombea kipato chake kisiongezeke maana wanapenda sana kufungua zipu kuholele
mimi ukitaka kunimaliza weka mwanaume wa kichaga,msukuma,mgita na mkurya hao viumbe bwana mi kwishney kabisa, kwanza sura zao tu ni za kiume.loh
Naunga mkono hoja. Wanaume wa kisukuma wapo juu kama dege la Obama! Lol.
:juggle:
Ha ha ha, ulisoma enzi za Malale?Mimi niliyesoma nae tulikuwa o' level, sikumbuki alisoma wapi A' level.
Kama na O' level ulisoma Moshi Tech. Basi unaweza kuwa ndiye.
Mbona umeiruka Buhangija?.
Njoo sasa mwadui, maganzo, mwakitolyo yee ng`ana duhu
Unafanya kazi gani! Sorry kwa swali hili
usije kuwa mkimbiza mwenge!!!
Naona unataja kimberlite pipes na greenstone zenye gold tu
wanaume wakisukuma hawana maamuzi magumu
Wengi wana mikurupio ya punda yaani hd inch 11!
ndo raha yao hasa
vipisi vya sigara vya nini?