CHIKITO Member Joined Dec 3, 2012 Posts 44 Reaction score 4 Dec 25, 2013 #1 Hii inatokana na tabia zao ambazo ni binafsi naita ni ushamba,ujinga,kutokujitambua Haiwezekani msanii mkubwa kama ALLY KIBA ANasema yeye collabo na diamond na ommy dimpoz ni kama kudeki bahari hizi za wapi jamani.
Hii inatokana na tabia zao ambazo ni binafsi naita ni ushamba,ujinga,kutokujitambua Haiwezekani msanii mkubwa kama ALLY KIBA ANasema yeye collabo na diamond na ommy dimpoz ni kama kudeki bahari hizi za wapi jamani.
white girl JF-Expert Member Joined Dec 5, 2013 Posts 1,361 Reaction score 401 Dec 25, 2013 #2 Sasa hayo ni mambo yake binfsi unataka kumuingiliaa,ina maaba we watu hua unaelewana nao wotee,mtu hufanya kitu moyo hupenda
Sasa hayo ni mambo yake binfsi unataka kumuingiliaa,ina maaba we watu hua unaelewana nao wotee,mtu hufanya kitu moyo hupenda
CHIKITO Member Joined Dec 3, 2012 Posts 44 Reaction score 4 Dec 26, 2013 Thread starter #3 white girl said: Sasa hayo ni mambo yake binfsi unataka kumuingiliaa,ina maaba we watu hua unaelewana nao wotee,mtu hufanya kitu moyo hupenda Click to expand... maisha ni kazi tofauti. Wenzetu mbele bifu hizi hakuna wanafake bifu kwaajili ya biznes lakin sisi wandewa kama tumechizika vile
white girl said: Sasa hayo ni mambo yake binfsi unataka kumuingiliaa,ina maaba we watu hua unaelewana nao wotee,mtu hufanya kitu moyo hupenda Click to expand... maisha ni kazi tofauti. Wenzetu mbele bifu hizi hakuna wanafake bifu kwaajili ya biznes lakin sisi wandewa kama tumechizika vile
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Dec 26, 2013 #4 CHIKITO said: maisha ni kazi tofauti. Wenzetu mbele bifu hizi hakuna wanafake bifu kwaajili ya biznes lakin sisi wandewa kama tumechizika vile Click to expand... Unajuaje kama hawa nao hawa-feki ili wawe talk of town mwishoni mwa mwaka?
CHIKITO said: maisha ni kazi tofauti. Wenzetu mbele bifu hizi hakuna wanafake bifu kwaajili ya biznes lakin sisi wandewa kama tumechizika vile Click to expand... Unajuaje kama hawa nao hawa-feki ili wawe talk of town mwishoni mwa mwaka?