Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maisha ni kazi tofauti. Wenzetu mbele bifu hizi hakuna wanafake bifu kwaajili ya biznes lakin sisi wandewa kama tumechizika vileSasa hayo ni mambo yake binfsi unataka kumuingiliaa,ina maaba we watu hua unaelewana nao wotee,mtu hufanya kitu moyo hupenda
maisha ni kazi tofauti. Wenzetu mbele bifu hizi hakuna wanafake bifu kwaajili ya biznes lakin sisi wandewa kama tumechizika vile