wewe umenyimwa kuleta ya Azam au roho mbaya na choyo tu?Usimba na uyanga unaharibu Sana soka letu
Aisee bila Shaka ujengaji wa hoja sampuli hii umejifunzia kwa shemeji yako, wazazi wako hawako hivi!Kwanini wewe usilete hayo malumbano ya Azam kwani kuna mtu umwemwajiri hapa?
Azam kachinja 3_1Hebu Lete matokeo kwanza ya Leo ngapi ngapi
Mi shabiki wa Simba, lakini hii tabia siipendi kabisa. Inadumaza sana soka letu kiujumlaUsimba na uyanga unaharibu Sana soka letu
Yanga kawashindilia washindilia barabara 1-0 raha sanaAzam kachinja 3_1
Wewe tu ndio umeongea pointTuombe hizi timu zetu zifikie hatua ya makundi.
Wakufika hatua ya makundi ni azam tu, na kidogo simba ila hawa wakujiita mabingwa wa kihistoria hawatoboi kwa zesco.Tuombe hizi timu zetu zifikie hatua ya makundi.
Tatizo inafanya tuonekane Vibaya, 5-5-5matokeo ya yanga na azam ni ya msimu tu.. unacheka leo kesho msala, wana msimbazi tuko bize na timu inayofanya Tanzania ionekana kimataifa