Hivi kwanini washabiki wa soka tunaidharau Azam namna hii?

Hivi kwanini washabiki wa soka tunaidharau Azam namna hii?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
leo nimebanwa na majukumu sikufuatilia mechi!nimerudi jion hii, nikaona ngoja niingie JF, jungu kuu.

Cha ajabu hakuna anayrzungumzia mechi ya Azam, malumbano ni Yanga na Simba!

Yaani timu inashiriki michusno ya kimatataifa, bado mnaziona Simba na Yanga pekee!

Azam mwaka huu inachukua ubingwa wa shirikisho[emoji123]muone aibu.
 
Suala la azamu tuwaachie wenye timu yao, sisi tunazungumzia timu zetu bhana,

mbona kmc hawakulalamika!
 
matokeo ya yanga na azam ni ya msimu tu.. unacheka leo kesho msala, wana msimbazi tuko bize na timu inayofanya Tanzania ionekana kimataifa
Tatizo inafanya tuonekane Vibaya, 5-5-5
 
Back
Top Bottom