Mkuu wewe ni shabiki wa Azam?Hakuna anayeidharau Azam...
Sema mashabiki wengi akili zao zimejikita kwenye mpira wa Simba na Yanga...
Cc: mahondaw
Wewe mzururaji acha upuuzi wakoKwanini wewe usilete hayo malumbano ya Azam kwani kuna mtu umwemwajiri hapa?
Azam ndio timu itakayo fika mbali jana wamempiga mtu 3Hakuna anayeidharau Azam...
Sema mashabiki wengi akili zao zimejikita kwenye mpira wa Simba na Yanga...
Cc: mahondaw
Hao Azam walichangia sana lile bakuli lenu. Walienda mbali mpaka kutoa free air time kwenye Tv yao kutangaza namba za kuchangia bakuli. Ukiacha hayo Bakhressa amechangia ma lorry kibao ya kifusi kujanza bonde lenu pale jangwani. Kabla ya kulaumu Mtafute taharifa, mnaweza mkakosa msaada siku zijazo.Azam wabadilike wanausimba mwingi wamepoteza uhalisia kwasababu ya ushabiki wao